fxbuniversity (@fxbuniversity_) 's Twitter Profile
fxbuniversity

@fxbuniversity_

Educational Body I Listen The Fxb Podcast I WhatsApp +255 748 100 044

ID: 1725410304022953984

linkhttps://taplink.cc/fxbuniversity calendar_today17-11-2023 07:07:56

229 Tweet

391 Followers

1 Following

fxbuniversity (@fxbuniversity_) 's Twitter Profile Photo

Fxb Podcast New Episode iko Live kwenye audio Platforms. - Kama unatumia Spotify 👉🏽link: open.spotify.com/episode/6jPmGd… Enjoy.

Fxb Podcast New Episode iko Live kwenye audio Platforms.
-
Kama unatumia Spotify 👉🏽link:  open.spotify.com/episode/6jPmGd…

Enjoy.
criannicas♟️ (@criannicas_) 's Twitter Profile Photo

Inawezekana 100% upo kwenye biashara ya Forex lakini hukuambiwa hizi HARDEST TRUTH. Most traders hawapendi kuzisikia. #thread🧵, Shuka nayo>>

fxbuniversity (@fxbuniversity_) 's Twitter Profile Photo

Tumelazimika ku-change namba yetu ya simu na Hii ndio namba ya support ambayo iko hewani muda wote. WhatsApp/Call +255 742 080 445

criannicas♟️ (@criannicas_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye Trading tuna msemo tunasema. “Not Placing a Trade is also trading…” Ukijua kutofautisha muda wa kua kwenye soko na muda wa kua nje ya soko, ume-win % flani ya Psychology yako. #thread👇🏼 #retweet

Kwenye Trading tuna msemo tunasema.

“Not Placing a Trade is also trading…”

Ukijua kutofautisha muda wa kua kwenye soko na muda wa kua nje ya soko, ume-win % flani ya Psychology yako.

#thread👇🏼 #retweet
criannicas♟️ (@criannicas_) 's Twitter Profile Photo

Risk Reward ndio man engine behind risk management. Unaweza kua na risk management nzuri but kama risk reward na mbaya then nothing will change. #Thread #Retweet 👇🏼

Risk Reward ndio man engine behind risk management. 

Unaweza kua na risk management nzuri but kama risk reward na mbaya then nothing will change.

#Thread #Retweet 👇🏼
fxbuniversity (@fxbuniversity_) 's Twitter Profile Photo

Umesikiliza hii Episode 64 ya Fxb podcast? Kama bado ingia Apple podcast, Spotify au sehemu yoyote unayosikilizoa podcasts zako Search Fxb podcast Au tumia hii link👇🏼 open.spotify.com/episode/7r9QtI… #vibe

Umesikiliza hii Episode 64 ya Fxb podcast?

Kama bado ingia Apple podcast, Spotify au sehemu yoyote unayosikilizoa podcasts zako

Search Fxb podcast

Au tumia hii link👇🏼

open.spotify.com/episode/7r9QtI…

#vibe
fxbuniversity (@fxbuniversity_) 's Twitter Profile Photo

Siku 90 ni sawa na miezi mitatu. Ukipangilia vizuri hizi siku na kujua vitu gani uji-noe inakua moja ya best foundation ya wewe kufika ndoto zako. Comment neno “SIKU 90” na utatumiwa PDF guide ya jinsi upangilie siku 90 kama foundation yako. #fxb #letsmakepips

criannicas♟️ (@criannicas_) 's Twitter Profile Photo

TRADER TO TRADER! Nilipoanza trading 7 years back, nilipoteza zaidi ya $5K ndani ya miaka 2+ Reason? Kulikuwa na kosa moja ambalo wengi pia wanalifanya Nimeweka step-by-step process ambayo ningefuata ili nisiipitie tena yale maumivu Kama uko serious na trading yako 👇🏼