
Furaha Nzunda
@furaha_nzunda
We all are Citizens of the World. What's good for you, Must be good for All. Share a plate of food with a stranger ☆I'm Catholic Christian☆
ID: 2732991664
04-08-2014 03:11:12
88,88K Tweet
14,14K Takipçi
9,9K Takip Edilen

Jeshi la polisi Police Force TZ mkoa wa Mbeya wanatafuta nyumba ninayoishi sijui wanataka kuja kutambika au kuniteka? Wamemuambia mmoja wa wanachama wetu kwamba tunaomba utuoneshe nyumba tu anayoishi Mdude tutakupa pesa. Alipowauliza ana kosa gani wamekwepa kusema. Yani wamefikia hatua



Mdude amekamatwa na Police Force TZ Usiku huu nyumbani kwake, wamevunja mlango na kumpiga sana!, KWa kuwa tumeamua kuwakabidhi watu wa aina hii bunduki basi matokeo yake ndo haya. Mungu wetu wa mbinguni tunakuomba umponye Mdude Nyagali , kila siku story ni za aina hii, haiwasaidii!!









Inatafakarisha sana ulimya wa ikulu_Tanzania kama vile kila kitu shwari. Uongozi mbya hauoni mateso na kelele za wananchi







Daah! Mke wa Mdude Nyagali akilia kwa uchungu muda huu baada ya Polisi kufika nyumbani kwa Mdude kufanya Uchunguzi huyu mtoto aliyebeba ndo mtoto wao. Polisi wanataka kumtenganisha huyu Dada na mmewe lkn pia wanataka mtoto akue bila malezi ya Baba. Nasikia kulia 😭😭😭😭
