Fumbo gr (@fumbog) 's Twitter Profile
Fumbo gr

@fumbog

Farmer , Teacher by professional* Young AfricanSC fan, player

ID: 1405427660919083008

calendar_today17-06-2021 07:31:04

929 Tweet

206 Takipçi

196 Takip Edilen

Ki Messi Mweusi 🐐 (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni shabiki wa YANGA SC mbovu iliyobadili makocha 3 ndani ya msimu mmoja, Yanga inayotafutiwa makosa kila baada ya mechi, Yanga isiyo na jema kwa baadhi ya wachambuzi, tafadhali RT tuwaoneshe msimamo ulivyo mpaka sasa. Sisi tulishakubali ni WABOVU SANA msimu huu.

Kama wewe ni shabiki wa YANGA SC mbovu iliyobadili makocha 3 ndani ya msimu mmoja, Yanga inayotafutiwa makosa kila baada ya mechi, Yanga isiyo na jema kwa baadhi ya wachambuzi, tafadhali RT tuwaoneshe msimamo ulivyo mpaka sasa. Sisi tulishakubali ni WABOVU SANA msimu huu.
Kelvin Kibenje Kyaluoko (@kelvinkibenje) 's Twitter Profile Photo

Una mtaji wa LAKI 2 MPAKA MILIONI 2? Hizi ni Biashara Ambazo unaweza kufanya na zikakupa uhakika wa faida ya Tsh 30,000 _ laki kwa siku ( 1_3M kwa mwezi) Wakati mwingine Biashara nzuri sio ile inayoonekana ya kifahari sana na decoration nzuri Biashara ni mizunguko, ni faida💵↗️

Çhøpër (@chopawang) 's Twitter Profile Photo

NAOMBA RETWEET HII POST 🙏 Leo sisemi mficha maradhi kifo humuumbua🤦‍♂️ Nimeweka hii post wengi mliiona, mwanenu bado najitafuta kimaisha tusichokane, nmeweza kuanzisha hii library kwaajili ya kujiingizia kipato, ila kama mnavyoona ofisi yangu bado haijasimama, naombeni sa👇

NAOMBA RETWEET HII POST 🙏

Leo sisemi mficha maradhi kifo humuumbua🤦‍♂️

Nimeweka hii post wengi mliiona, mwanenu bado najitafuta kimaisha tusichokane, nmeweza kuanzisha hii library kwaajili ya kujiingizia kipato, ila kama mnavyoona ofisi yangu bado haijasimama, naombeni sa👇
EastZoo✝️ (@waeastzoo) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndugu alipata ajali jana trh 24/03/2025 majira ya saa 2 ucku baada ya ajali dereva boda boda alikimbia lakini yy akawa kaumia sana hivyo wasamalia wema walimpeleka hospital hata hivyo haikuwa bahat akapoteza maisha

Huyu ndugu alipata ajali jana trh 24/03/2025 majira ya saa 2 ucku baada ya ajali dereva boda boda alikimbia lakini yy akawa kaumia sana hivyo wasamalia wema walimpeleka hospital hata hivyo haikuwa bahat akapoteza maisha
Fumbo gr (@fumbog) 's Twitter Profile Photo

Suala la dini naona linawatoa watu wengi akili. Tukifika kwenye mambo ya dini ndio unaamini humu ndani kuna akili za ajabu sana

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kuna nyakati nikitulia pekee yangu, nikianza kusali na kuabudu sifa na utukufu wa jina lako, ninajiuliza. Mwenyezi Mungu kwanini umeyaruhusu yatokee? Mzee Ali Mohammed Kibao awaache watoto wake na wajukuu wake, Godwin Mlay aiache familia yake? Deusdedith Soka bibi ataishije

Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama tumpe retweet 1000

Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama

tumpe retweet 1000