JINSI YA KUPATA FOLLOWER TWITER
👉 Kwanza heshimu twiti za kuinuana
👉 Ukiona twiti za kuinuana like, retweet
👉 Mwisho unashusha handle yako
👉 Mwisho kabisa uwe unalike zile handle walizo weka wenzako na kuzireply FB (Follow back)
Kwa pamoja tutafika 10K, Weka handle👋👋