Bid Manager (@fredtender) 's Twitter Profile
Bid Manager

@fredtender

Helped Clients acquire 20 billion worth of contracts in the last 3 years across a wide range of sectors.Completed 200+ tenders with an 85% audited success rate.

ID: 1015505354

calendar_today16-12-2012 16:00:41

9,9K Tweet

6,6K Takipçi

558 Takip Edilen

Bid Manager (@fredtender) 's Twitter Profile Photo

Hello my friends, Siku ya leo Mungu asikupungukie wala kukuacha katika shughuli zako, masomo yako, afya yako hata familia yako. Chochote kitakachosimama mbele yako kwa ajili ya kukurudisha nyuma au kukuvunja moyo. Mungu akutetee na kukupigania. Ameen Be Blessed ❤️🙏🏼

Hello my friends,

Siku ya leo Mungu asikupungukie wala kukuacha katika shughuli zako, masomo yako, afya yako hata familia yako. 

Chochote kitakachosimama mbele yako kwa ajili ya kukurudisha nyuma au kukuvunja moyo. Mungu akutetee na kukupigania. 

Ameen

Be Blessed ❤️🙏🏼
Mohamed Mo (@mohamed22127828) 's Twitter Profile Photo

Bid Manager Ameen na kwako pia. Ila nduguyangu sikuhizi hatupati story kutoka kwako ambazo ni verry productive kwetu. Pengine ratiba zako zimekubana, ila zinatusaidia sana sisi wengine. 🙏🏻🙏🏻

Bid Manager (@fredtender) 's Twitter Profile Photo

Earlier today we had a good session with ITV tukiongelea mchakato mzima wa Tendering katika sekta binafsi na serikali, na namna vijana wanaweza kuzikamatia fursa hizo. TenderBank_Consultancy #WinMoreBidLess

Earlier today we had a good session with ITV tukiongelea mchakato mzima wa Tendering katika sekta binafsi na serikali, na namna vijana wanaweza kuzikamatia fursa hizo.

<a href="/Tenderbank_/">TenderBank_Consultancy</a>  #WinMoreBidLess
Joseph Mramba (@josephmrambatz) 's Twitter Profile Photo

Kazi imeendelea ktk jitihada zetu za kuimarisha mahusiano ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo ya vijana nchini. Ushirikiano huu na China Xinhua News sio tu kwenye maendeleo ya vijana, bali pia unatuwezesha kujiunga na programu ya Pamoja ya Mawasiliano wa Kimataifa wa Kusini (Global South)

Bid Manager (@fredtender) 's Twitter Profile Photo

We are taught not to burn bridges because we might need people later. But I pray I never have to depend on anyone who has hurt or humiliated me. May God bless me with abundance so I never have to be in that position.

Bid Manager (@fredtender) 's Twitter Profile Photo

Internship Opportunity – Graphic Designer We’re looking for a talented graphic design intern! If you’re interested, kindly share 3-4 of your best designs down here or DM us.

Bid Manager (@fredtender) 's Twitter Profile Photo

Baba wa mbinguni, nakuomba neema na kibali chako viniongoze leo. Fungua milango ambayo hakuna mwanadamu atakayeweza kufungua, na unifanye nisimame mbele ya watu wakubwa. Nipatie ushindi katika kila changamoto nitayokutana nayo. Kwa jina la Yesu. Amen

Bid Manager (@fredtender) 's Twitter Profile Photo

As the Managing Director, I was overjoyed to celebrate the first marriage among our staff TenderBank_Consultancy, a milestone that marks the growth of our Tenderbank family. Congratulations to our General Manager 👏

Abdulrahman Ndyetabura (@dully_ndyeta) 's Twitter Profile Photo

📢 Start Your Business the Smart Way! We handle the paperwork ✅ You focus on the profits 💼 💡 From Registration to Licenses – We’ve Got You Covered! 📞 Call: +255 695 014 453 WhatsApp: +255 769 368 936 JUNAYD ENTERPRISES – Turning Your Ideas into Registered Success! 🚀

📢 Start Your Business the Smart Way!
We handle the paperwork ✅ 
You focus on the profits 💼

💡 From Registration to Licenses – We’ve Got You Covered!

📞 Call: +255 695 014 453
WhatsApp: +255 769 368 936

JUNAYD ENTERPRISES – Turning Your Ideas into Registered Success! 🚀