Dr. Fredrick Michael Sanga (@fredricksanga) 's Twitter Profile
Dr. Fredrick Michael Sanga

@fredricksanga

Believing in professionalism and competence. A leader doesn't fight for position but for involvement and commitments to bring good into the society.

ID: 578273403

calendar_today12-05-2012 16:23:18

1,1K Tweet

66 Followers

150 Following

Mnyawami (@jacksonmnyawam2) 's Twitter Profile Photo

Roho ya Wizi imeota Mizizi katika taifa letu watu wanaiba kila kila kitu,wanaiba kura alafu wanasema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki #NoReformNoElection

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🔥👊🏽 Hapa sasa pameanza kueleweka Najua kuna watu leo watalala na viatu maana siku tukiungana wanamabadiliko Tanganyika na Zanzibar - hii struggle tunamaliza mapema Focus! #NoReformsNoElection #KatibaMpya 2025 ni mwaka wa kipekee - let’s see this through!

🔥👊🏽
Hapa sasa pameanza kueleweka
Najua kuna watu leo watalala na viatu maana siku tukiungana wanamabadiliko Tanganyika na Zanzibar - hii struggle tunamaliza mapema
Focus! #NoReformsNoElection #KatibaMpya 
2025 ni mwaka wa kipekee - let’s see this through!
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: TUNDU LISSU AJA NA MAPENDEKEZO MAZITO KUELEKEA UCHAGUZI WA 2025 Mwenyekiti wa @ChademaTz, Tundu Antiphas Lissu aja na mapendekezo ambayo yanatakiwa kufanyiwa marekebisho ili uchaguzi mkuu wa 2025 ufanyike bila mashaka yoyote, moja ya mapendekezo aliyoyasema ni Tume ya uchaguzi

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Jana jioni nikiwa na viongozi wenzangu, tulipata nafasi ya kumtembelea mzee wetu ambae ni muasisi wa chama chetu Mzee Edwin Mtei. Tulifurahi kupokelewa na familia yake na kupata nafasi ya kumuona na kumjulia hali mzee. Tunamtakia Mzee Mtei maisha marefu zaidi na ya furaha.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨FAKE NEWS ALERT‼️ Machawa wameishiwa wamebaki kusambaza uongo Ni rahisi sana kutambua kama habari ni feki - cheki kwenye ukurasa husika! Pia huko Whatsapp namba inayotumika kusambaza hii propaganda iandike utupatie tuwajue hawa waongo! Eniwei najua madhulmat yanahaha 😃 hadi

🚨FAKE NEWS ALERT‼️
Machawa wameishiwa wamebaki kusambaza uongo
Ni rahisi sana kutambua kama habari ni feki - cheki kwenye ukurasa husika! 
Pia huko Whatsapp namba inayotumika kusambaza hii propaganda iandike utupatie tuwajue hawa waongo!
Eniwei najua madhulmat yanahaha 😃 hadi
Dr. Fredrick Michael Sanga (@fredricksanga) 's Twitter Profile Photo

This is unacceptable. We must love one another, this is our country. Tanzania is going to a very bad situation youtube.com/live/VnaCR-BPy…