Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile
Fred Kavishe

@fredkavishe

Building Capital Digital | Digital Consultant | @TOTBonanza Coordinator | Jogger

ID: 277054151

calendar_today04-04-2011 16:15:58

131,131K Tweet

56,56K Followers

1,1K Following

Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Kusomesha na kuendeleza biashara ni vitu viwili tofauti. Kuna jamii zimesomesha watoto wamekataa kuendeleza vitu vya wazazi wako maofisini mengine. Kama hujamuandaa mtoto kuja kurithi biashara yako hawezi kuja kuongoza vyema akiwa mkubwa hata upeleke chuo gani maandaliz mapema

Balyx (@balyx_) 's Twitter Profile Photo

MBUNGI LA UCL linaanza RASMI Leo hii na hizi ndo games zitakazooneshwa channel no. 224 Imagine 5 games kwa 3 nights so kitu kidogo ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ Kwa gharama ya 25k tu unaenjoy burudani ndani ya #MfalmeWaBoma

MBUNGI LA UCL linaanza RASMI Leo hii na hizi ndo games zitakazooneshwa channel no. 224

Imagine 5 games kwa 3 nights so kitu kidogo ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

Kwa gharama ya 25k tu unaenjoy burudani ndani ya 

#MfalmeWaBoma
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข (@anuskills3) 's Twitter Profile Photo

Swahiba, mwaka huu lazima turuke juu na Qatar Airways! โœˆ๏ธ Kama unamjua rafiki yake Joyce anayejipiga selfie kila mara Airport, mpe salamu โ€“ safari hii ni halali kabisa! ๐Ÿ›ซ Pata punguzo la hadi 12% kwa tiketi ya Qatar Airways na urudishiwe 10% ukiilipa kwa TemboCard VISA.

Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

๐—ง๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ๐—–๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ ๐—จ๐—ป๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐—ฃ๐—ฎ๐˜† ๐Ÿ’ณ Ni kadi ya kidigiti inayokuwezesha kufanya malipo duniani kote. Ni rahisi sana kuitengeneza kupitia Simbanking App na *150*03# Msikilize zaidi Gregory #SwahibaLanguLako

Christina Sintah (@csintah) 's Twitter Profile Photo

Jamii yetu imekumbwa na ombwe la msongo wa mawazo watu wameacha kuongea tena yale yanayo wakabili wakiogopa kuchekwa. Tafuta mtu sahihi utakaye kuwa unamwambia mapito yako usikae nayo rohoni. Muwe na siku njema.

Jamii yetu imekumbwa na ombwe la msongo wa mawazo watu wameacha kuongea tena yale yanayo wakabili wakiogopa kuchekwa.

Tafuta mtu sahihi utakaye kuwa unamwambia mapito yako usikae nayo rohoni.

Muwe na siku njema.
CRDB Bank PLC (@crdbbankplc) 's Twitter Profile Photo

Umekwama na gharama za registration ya chuo? Swahiba wako CRDB yupo na anaweza kukusoti na mkopo wa kukamilisha registration chap. Cha kufanya fungua akaunti kwa timu yetu ya mauzo kitaani, chuoni au tawi la Benki ya CRDB #SwahibaLanguLako #CrdbBank #tunakusikiliza

Umekwama na gharama za registration ya chuo?

Swahiba wako CRDB yupo na anaweza kukusoti na mkopo wa kukamilisha registration chap. Cha kufanya fungua akaunti kwa timu yetu ya mauzo kitaani, chuoni au tawi la Benki ya CRDB

#SwahibaLanguLako
#CrdbBank
#tunakusikiliza
Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

First year Haina kufeli Umekwama na gharama za registration ya chuo? Swahiba wako CRDB yupo na anaweza kukusoti na mkopo wa kukamilisha registration chap. Cha kufanya fungua akaunti kwa timu yetu ya mauzo kitaani, chuoni au tawi la Benki ya CRDB #SwahibaLanguLako

First year Haina kufeli 

Umekwama na gharama za registration ya chuo?

Swahiba wako CRDB yupo na anaweza kukusoti na mkopo wa kukamilisha registration chap. Cha kufanya fungua akaunti kwa timu yetu ya mauzo kitaani, chuoni au tawi la Benki ya CRDB

#SwahibaLanguLako
WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Usisubiri tena! Pata kadi yako haraka kupitia SimBanking App ๐Ÿ“ฒ na ufurahie ununuzi mtandaoni kwa usalama wa hali ya juu ๐Ÿ”’ bila kero yoyote! Swahiba Gregory ana habari zote kuhusu faida za ๐—ง๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ๐—–๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ ๐—จ๐—ป๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐—ฃ๐—ฎ๐˜† ๐Ÿ’ณ #SwahibaLanguLako

DOCHA ๎จ€ (@alugandu) 's Twitter Profile Photo

UEFA CHAMPIONS LEAGUE Kuanza Leo Rasmi ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ†โšฝ๏ธ Lipia Kifurushi Chako Cha POA Kwa Buku 10 Tu..!! Utazame Mechi Hizi. Jiunge Na Familia Ya DStv (TZ) Na Piga *150*53# Kulipia Vifurushi Vyako Uenjoy Burudani Kedekede..!! #MbungiBampa2Bampa | #MfalmeWaBoma

UEFA CHAMPIONS LEAGUE Kuanza Leo Rasmi ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ†โšฝ๏ธ

Lipia Kifurushi Chako Cha POA Kwa Buku 10 Tu..!! Utazame Mechi Hizi.

Jiunge Na Familia Ya <a href="/DStv_Tz/">DStv (TZ)</a> Na Piga *150*53# Kulipia Vifurushi Vyako Uenjoy Burudani Kedekede..!!

#MbungiBampa2Bampa | #MfalmeWaBoma
๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Mbungi la UCL ndani DStv (TZ) mechi zoote zinaanza kesho sasa Lipia Mapema King'amuzi chako uanze kufurahia burudani hizi. Namna ya kulipia Kung'amuzi chako cha DSTV. Piga sasa *150*53# Kulipia. DSTV ni #MfalmeWaBoma #MbungiBampa2Bampa

Mbungi la UCL ndani <a href="/DStv_Tz/">DStv (TZ)</a>  mechi zoote zinaanza kesho sasa Lipia Mapema King'amuzi chako uanze kufurahia burudani hizi. Namna ya kulipia Kung'amuzi chako cha DSTV.

Piga sasa *150*53# Kulipia.

DSTV ni #MfalmeWaBoma
#MbungiBampa2Bampa
Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Kivumbi cha UCL kinaanza leo rasmi, na hii ndio ratiba ya mechi za leo na Alhamisi. Kwa nini uko burudani hizi..?? Lipia kifurushi chako cha DStv mapema kwa kubofya *150*53#. #MfalmeWaBoma

Kivumbi cha UCL kinaanza leo rasmi, na hii ndio ratiba ya mechi za leo na Alhamisi.

Kwa nini uko burudani hizi..??

Lipia kifurushi chako cha DStv mapema kwa kubofya *150*53#.
#MfalmeWaBoma
Sally Brown๐ŸŒท (@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ โœˆ๏ธ Kama wewe unaitwa Joyce basi kula tano โœ‹popote ulipo kwa kufikisha ujumbe kwa swahiba wetu huyu ambaye kutwa kucha kujipiga selfie Airport anasafiri wakati haya mambo yanawezekana bila hata kufeki. #SwahibaLanguLako

Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Mbugi la Carabao Cup linaanza Leo. Man United wanawakaribisha Burnsley Game ya saa nne usiku Uwanja OT Gari ya United je limewaka ama bado? #MfalmeWaBoma #MbugiBampa2Bampa

Mbugi la Carabao Cup linaanza Leo.

Man United wanawakaribisha Burnsley 

Game ya saa nne usiku 
Uwanja OT
Gari ya United je limewaka ama bado?
#MfalmeWaBoma 
#MbugiBampa2Bampa
Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Kushuhudia Mashindano ya UEFA tunaendelea na Mbungi ya Carabao Cup ndani ya Dstv. Sema hakuna sehemu unaweza kuenjoy kuhusu mpira kama Dstv na kulipia Vifurushi vyake ni rahisi sana bofya *150*53# #MfalmeWaBoma

Baada ya Kushuhudia Mashindano ya UEFA tunaendelea na Mbungi ya Carabao Cup ndani ya Dstv.

Sema hakuna sehemu unaweza kuenjoy kuhusu mpira kama Dstv na kulipia Vifurushi vyake ni rahisi sana bofya *150*53#

#MfalmeWaBoma