Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile
Fred Kavishe

@fredkavishe

Building Capital Digital | Digital Consultant | @TOTBonanza Coordinator | Jogger

ID: 277054151

calendar_today04-04-2011 16:15:58

135,135K Tweet

56,56K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mkandarasi wekeza kwenye hati fungani ya Sakuk ukamilishe miradi kwa wakati. Faida Halal 12% kwa Tsh na 6% kwa USD. Kiwango cha kuanzia 500,000 au USD 1,000 Fungua Simbanking Apps > Miniapps > Uwekezaji Kwa miaka 5 utapiga hatua kubwa #HalalKwaAjiliYako

Mkandarasi wekeza kwenye hati fungani ya Sakuk ukamilishe miradi kwa wakati.

Faida Halal 12% kwa Tsh na 6% kwa USD.
Kiwango cha kuanzia 500,000 au USD 1,000

Fungua Simbanking Apps > Miniapps > Uwekezaji 

Kwa miaka 5 utapiga hatua kubwa
#HalalKwaAjiliYako
Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

#BajabirLogistics. Una mzigo unahitaji gari ya kukusafirishia mizigo yako kutokea Dar? Una paseli za kusafirishwa kutokea Dar? ☎️0653 48 78 16 📍Kinondoni Muslim Opposite Phantom Filling Station ⛽️.

#BajabirLogistics.

Una mzigo unahitaji gari ya kukusafirishia mizigo yako kutokea Dar?

Una paseli za kusafirishwa kutokea Dar?
☎️0653 48 78 16 
📍Kinondoni Muslim Opposite Phantom Filling Station ⛽️.
DOCHA  (@alugandu) 's Twitter Profile Photo

AL - BARAKAH SUKUKU Ni Hati Fungani Kutoka CRDB Bank PLC Wekeza Upate Faida Halal Na Ni Salama Kabisa Kwa Uwekezaji..!! Kwa Kianzio Cha TZS 5,000 au USD 1,000 Tu Unawekeza - Faida Halal 12% p.a Ukiwekeza TZS - Faida Halal 6% p.a Ukiwekeza USD - Gawaio Mara 4 Kwa Mwaka Itadumu

AL - BARAKAH SUKUKU Ni Hati Fungani Kutoka <a href="/CRDBBankPlc/">CRDB Bank PLC</a> Wekeza Upate Faida Halal Na Ni Salama Kabisa Kwa Uwekezaji..!!

Kwa Kianzio Cha TZS 5,000 au USD 1,000 Tu Unawekeza

- Faida Halal 12% p.a Ukiwekeza TZS
- Faida Halal 6% p.a Ukiwekeza USD
- Gawaio Mara 4 Kwa Mwaka

Itadumu
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Swahiba CRDB Diaspora Banking ipo Atlanta Georgia US. Karibu ufungue akaunti, upate Kadi na huduma za Internet Banking, Simbanking,Uwekezaji, Bima n.k Wasiliana nasi kupitia 📧[email protected] #crdbbank #tunakusikiliza

Swahiba CRDB Diaspora Banking ipo Atlanta Georgia US.

Karibu ufungue akaunti, upate Kadi na huduma za Internet Banking, Simbanking,Uwekezaji, Bima n.k

Wasiliana nasi kupitia 
📧Tanzanite@crdbbank.co.tz
#crdbbank
#tunakusikiliza
Baba_Arthur_Ariella (@bpkaa_) 's Twitter Profile Photo

🎓 Join the Future of Innovation at BIST! Are you ready to unlock your potential and shape tomorrow’s world? At Bagamoyo African Institute of Science and Technology (BIST), we nurture creative minds, empower problem-solvers, and inspire leaders in Business, Finance, Science,

🎓 Join the Future of Innovation at BIST! 
Are you ready to unlock your potential and shape tomorrow’s world?
At Bagamoyo African Institute of Science and Technology (BIST), we nurture creative minds, empower problem-solvers, and inspire leaders in Business, Finance, Science,
MIRIAM💜 (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Kwa Diamond na kwa watu wote wanaosema Diamond Yuko sahihi tunawakumbusha kwamba kuna watu wanapambana usiku na mchana, Lakini mambo bado ni bila bila kitu wanapata ni hela ya ngama tu. Bidii Binafsi ni muhimu sana lakini haitoshi Serikali inawajibu wa Msingi wa kuweka

Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Tunalipa Kodi vizuri kabisa kwa maendeleo ya Taifa lakini distribution ya Kodi tunazotoa bado sio rafiki hakuna accountability kwenye kodi zetu masikini. Ukweli usiopingika bila kulipa Kodi hakuna maendeleo lakini pesa zinazokusanywa zikafanye yaliyo sahihi.

Tunalipa Kodi vizuri kabisa kwa maendeleo ya Taifa lakini distribution ya Kodi tunazotoa bado sio rafiki hakuna accountability kwenye kodi zetu masikini.

Ukweli usiopingika bila kulipa Kodi hakuna maendeleo lakini pesa zinazokusanywa zikafanye yaliyo sahihi.