Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile
Freddie

@frediejustine

Centrist. Diplomat. Carpe Diem

ID: 518423671

calendar_today08-03-2012 12:00:46

101,101K Tweet

61,61K Followers

631 Following

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

… Leo udongo umempokea ndugu yetu Albert Oltereu — sauti ya msimamo na moyo wa mapambano. Aliisimama kwa kweli. Alisema yaliyo magumu kusemwa, akatenda yasiyo rahisi kutendwa. Mazishi haya hayaziki tu mwili, yanazika enzi ya kimya chenye maana. In a better place now. 🕊️

… Leo udongo umempokea ndugu yetu Albert Oltereu — sauti ya msimamo na moyo wa mapambano.

Aliisimama kwa kweli.
Alisema yaliyo magumu kusemwa, akatenda yasiyo rahisi kutendwa.

Mazishi haya hayaziki tu mwili,
yanazika enzi ya kimya chenye maana.

In a better place now. 🕊️
Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

….. Migogoro ya Kisiasa sio Shimo refu la giza bali ni Ngazi ya kupanda kufikia Malengo. Tunafanya nini kutumia faida ya mgogoro wao mkubwa uliopo coz soon wakirudi pamoja, wanakuja KUTUMALIZIA. Mgogoro wao wa 2015 na UKATILI dhidi yetu uliofuata baadae ulinifunza great deal.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Chama chetu kimeonya na kutaka tume ya uchaguzi, rais Samia na serikali yake walete utulivu kwenye Nchi. Kwa kuhakikisha wanafanya mabadiliko ili kuwepo uchaguzi huru, haki na jumuishi. Rais Samia na serikali yake wanapuuza wito huu wa chama pekee chenye nguvu na watu.

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

…. Roho ikitulia, hata kelele na Shenanigans za kisiasa zinazoendelea hazikupi presha. Utulivu ni ushindi wa ndani ambao hauhitaji ushindi wa nje kuthibitisha. TUTASHINDA! Kwa nje na kwa ndani.

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

…. Ndugu waandishi na watangazaji mliopokwa Jukwaa, Tambueni kuwa mkimnyamazishwa, hawajazima ukweli bali wamehairisha aibu yao. Kalamu na sauti zenu zikiogopwa kuliko bunduki, ujue nchi inaandikwa upya. Msipige magoti na Msiogope, Mbele iko sawa.

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

…. Ukificha ukweli leo kwa takwimu za kupika, kesho utaongoza Taifa lisilokuamini – Taifa linalojengwa katika msingi wa Uongo. Tume ya uchaguzi si muhuri wa Serikali; ni dhamiri ya wananchi ikiongea kwa namba, kweli na matumaini. Ukilaghai, haujawadanganya. UMEJIDANGANYA.

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

… 2022, Jumla ya watu TZ ni Mil. 62.3 Wenye Miaka 18+ ni 50.2% sawa na Mil. 31.3 Miaka 16-17 ni 4.4% ambao ni Mil. 2.9 Wangejiandikisha wote kupiga kura jumla ni Mil. 34.2 Ila Tume ya Uchaguzi imetutangazia watu Mil 37.6 Every joke is funnier than the previous one 💔

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

…. Wapo wazee wachache wabaya wanaong’ang’ania MADARAKA, Wako tayari kuharibu maisha ya mamilioni ya VIJANA wenye akili na ndoto kubwa ili waendelee kutawala. Brothers, msikubali kuburuzwa wala kuridhika na kidogo. UFALME UNATEKWA NA WENYE NGUVU, Na wenye nguvu ni VIJANA.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Petition · End Electoral Irregularities and Strengthen Democracy in Tanzania - Tanzania · Change.org change.org/p/end-electora…

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

…. Kanisa Katoliki la Kirumi limeendelea kuwa moja ya Taasisi zenye ushawishi mkubwa na zilizo dumu kwa muda mrefu katika historia ya Ulimwengu. Ni nguvu isiyopaswa kupuuzwa na mwenye hekima.

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

Umesha Sign Petition? Ni rahisi na onyesha kwa vitendo kuwa Bila Reforms hakuna Mzalendo ataekwenda kwenye Uchaguzi change.org/p/end-electora…

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

…. Shughuli za Bunge bado hazijakoma. Mbunge Aida Kenan ana haki kukutana na wananchi wake. Kuwapiga waliokusanyika kwa amani ni kuvunja KATIBA. Ibara 63(2) – Mbunge ni mwakilishi wa wananchi, Ibara 18 – Haki ya kutoa maoni na Ibara 20(1) – Haki ya kukusanyika kwa amani.

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

…. Vita hupiganwa pale ambapo Serikali inapokuambia nani ni ADUI. Mapinduzi ni pale wananchi wazalendo wanapoamua wenyewe nani ni ADUI wa ustawi wa Taifa lao.

Freddie (@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

…. Ndugu Majaji na Mahakimu, “Na msifanye viapo vyenu kuwa sababu ya udanganyifu baina yenu, msije mguu ukateleza baada ya kuwa umesimama imara…” — Qur’an 16:94 “Ole wao waalimu wa sheria na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnachuja mbu, lakini mnameza ngamia!” — Mathayo 23:24