Yoshua 1:9
Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.
Lord, please help me stand firm in my faith. Please help me to be strong and courageous. And please help me to guard against things that would lead me away from You. Amen.
🇹🇿🙏🏽
Ndugu Watanzania naomba tuonyeshe Upendo WETU kwa
LIKE ❤️ Na RETWEET 🔁 za Kutosha Kwa Mpendwa Wetu Aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Hayati Dkt John Magufuli
#RIPMagufuli
#RipJohnMagufuli
“Hauchagui muda bali ni muda unakuchagua wewe. Kuna mawili yani utumie nafasi ambayo inaweza kuwa pekee maishani mwako au uamue kuishi maisha yako yote kwa kujuta kuacha kutumia nafasi uliyoipata” Barack Obama, A Promised Land.
Seven dangers to human virtue:
1. Wealth without work
2. Pleasure without conscience
3. Knowledge without character
4. Business without ethics
5. Science without humanity
6. Religion without sacrifice
7. Politics without principles
—Mahatma Gandhi
"Niwashukuru sana mashabiki wa Yanga kwa sapoti mliyotupa kutoka mwanzo mpaka leo, nawaomba kesho tuongeze kitu kimoja. Kesho tushangilie kwa dakika zote 90, hata katika nyakati timu haina mpira tusiwe kimya, tupambane kushangilia ili kuwapa nguvu wachezaji wetu. Hii mechi sio
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Adel Amrouche ameweka wazi orodha ya Wachezaji 27 watakaocheza michuano ya AFCON huku akiwakata Abdul Sopu, Khelfin Hamdoun, Metacha Mnata na Tariq Abdillahi.
Michuano ya AFCON 2023 inatarajia kuanza January 13 2024 nchini