
frankius mulongo
@frankiusmulong2
Environmental issues and human being 馃崗
ID: 1211013115996856320
28-12-2019 19:57:08
684 Tweet
143 Followers
889 Following







Waziri Nape Afuturisha Mtama Waziri wa @wizarahmth na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amefuturisha wananchi wa Jimbo la Mtama ikiwa ni sehemu ya kila mwaka kufanya jambo hilo katika kipindi cha Mfungo wa Ramadhan.



President Samia Suluhu taarifa mkoa wa kagera katika miundombinu ya barabara umekufa tukianza na TARURA barabara zimejaa matope,korongo, michanga na mawe mfano wilaya ya Muleba barabara za kwenda kijiji cha Mubunda ni mbaya sana wananchi wanapata shida sana

President Samia Suluhu taarifa mkoa wa kagera katika miundombinu ya barabara umekufa tukianza na TARURA barabara zimejaa matope,korongo, michanga na mawe mfano wilaya ya Muleba barabara za kwenda kijiji cha Mubunda ni mbaya sana wananchi wanapata shida.

President Samia Suluhu mkoa wa kagera under TANROAD kuna usimamizi hafifu magugu na nyasi zimejaa barabarani na kuharibu kingo za barabara mpaka mandhari yake imepotea.wananchi tunaomba utusaidie mama.

Today, Wednesday 12/04/2023, together with the Vice President, Dr Mohamed Juldeh Jalloh (Dr. Mohamed Juldeh Jalloh), I met with the distinguished Honourable Dr Kandeh Yumkella (Hon. Kandeh Yumkella) of the National Grand Coalition (#NGC) Party at the State House, Freetown. We discussed various






Asante sana Mheshimiwa rais Samia Suluhu kwa hotuba ya kizalendo, kwa kweli vyama vya siasa wanatumia neno "Democracy" kutimiza malengo yao hawana hofu kabisa.Taifa imara linajengwa amani na mshikamano kwa maana hii lazima tusimame na kulinda taifa letu.

Mhe.rais Samia Suluhu katika swala la usafi kwa majiji napendekeza yafuatayo yard za magari ya umeme na gesi zipewe kipaumbele, magari mabovu yote yaondolewe, kupanda bustani kwenye maeneo oevu, kuongeza magari ya taka kwa zoezi hili majiji yatakuwa safi na salama.


Umuhimu wa maeneo ya wazi kama viwanja vya mpira na bustani, tutapunguza uhalifu, kuimarisha mahusiano, kupata jamii yenye afya,tutalinda na kupenda mazingira, watoto watapata maeneo ya kuchezea @OR_TAMISEMI na Kassim Majaliwa Majaliwa