Filbert Temba (@filberttem33679) 's Twitter Profile
Filbert Temba

@filberttem33679

ID: 1677748029187604481

calendar_today08-07-2023 18:35:12

6 Tweet

40 Followers

283 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nakupongeza Askofu Mkuu Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Fransisko kuwa Kardinali. Naungana na Watanzania wote kukutakia kheri na kukusindikiza katika sala, unapoendelea na kazi yako ya utume katika hatua hii mpya. Mwenyezi Mungu ambaye amekuinua kwa baraka na

Nakupongeza Askofu Mkuu Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Fransisko kuwa Kardinali. Naungana na Watanzania wote kukutakia kheri na kukusindikiza katika sala, unapoendelea na kazi yako ya utume katika hatua hii mpya. 

Mwenyezi Mungu ambaye amekuinua kwa baraka na
Kipanga (@kipanga1986) 's Twitter Profile Photo

Sisi wanaharakati wetu wanawajaza watu sumu, Wallah Tanzania maendeleo tutabaki kuyaona kwenye Tv, Watu wanaumiza kichwa kutafuta wewekezaji sisi tunaleta siasa za kijinga sijui Mzanzibar anataka kuuza bandari, sijui mkataba hauna kikomo, siasa za kijinga kwenye mambo ya msingi