FEY NA KIDEVU (@feykidevu) 's Twitter Profile
FEY NA KIDEVU

@feykidevu

haya endelea na kazi 🙏😁

ID: 1699775659793321984

calendar_today07-09-2023 13:24:45

10,10K Tweet

651 Followers

532 Following

OSCAR MSANZI (@oscarmsanzi) 's Twitter Profile Photo

Tunaishi katika nyakati ambazo watu wamepoteza matumaini na maisha yao hadi imefika hatua furaha pekee anayoitarajia mtu ni kuona anguko la mtu mwingine ✍🏿 .

Raphael Mheta (@raphaelmheta) 's Twitter Profile Photo

Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Uyapokee, tafadhali, mafunzo yatokayo kinywani mwake, Na maneno yake yaweke moyoni mwako. Ayubu 22 :21-22

SUKAYO𝕏🇹🇿 (@sukayotz) 's Twitter Profile Photo

🚨 Leo kuna mechi kali za FIFA world cup Qualifications tengeneza keka lako la ushindi kupitia sokabet Kuweka keka gusa 👉 sokabet.co.tz Au piga *149 *35# Sokabet code : HZYT9 X (formely Twitter) Sokabet Tanzania

🚨 Leo kuna mechi kali za FIFA world cup Qualifications tengeneza keka lako la ushindi kupitia sokabet

Kuweka keka gusa 👉 sokabet.co.tz
Au piga *149 *35#
Sokabet code : HZYT9

X (formely Twitter) <a href="/sokabettanzania/">Sokabet Tanzania</a>
KIDEVU (@keydevu) 's Twitter Profile Photo

Ona masiku yanavyokwenda jama na masaa yanakatika Lizzie kuna kitu natamani unambiee nambieee tell me maaaaa💤☺️

Ona masiku yanavyokwenda jama na masaa yanakatika Lizzie kuna kitu natamani unambiee nambieee tell me maaaaa💤☺️