Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile
Fortunatus Buyobe

@fbuyobe

Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: t.me/fbuyobe

ID: 1433349078600015873

calendar_today02-09-2021 08:41:30

21,21K Tweet

113,113K Followers

855 Following

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Tunawasingizia bure polisi. Hata wao hawapendi haya lakini yanatendwa na wenye Kinga na "License to Kill" Najuzwa kwenye briefing ya wiki hii nimeteuliwa kuwa kuku. Wanasema kwa uficho wiki hii wanakuja kununua bidhaa dukani kwangu (Nyumbani) Kigamboni

Tunawasingizia bure polisi. Hata wao hawapendi haya lakini yanatendwa na wenye Kinga na "License to Kill"

Najuzwa kwenye briefing ya wiki hii nimeteuliwa kuwa kuku.

Wanasema kwa uficho wiki hii wanakuja kununua bidhaa dukani kwangu (Nyumbani) Kigamboni