fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile
fatma karume aka Shangazi

@fatma_karume

Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight

ID: 953871384400269312

calendar_today18-01-2018 06:07:14

71,71K Tweet

1,1M Followers

626 Following

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Hebu nielezi; Ukiuwa na ukakiri hadharani kuwa umeuwa, hustahili kushtakiwa kwa kuwa umesema UKWELI? Kwa hivyo KUKIRI KOSA ni DEFENCE? 😂😂🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️ Mungu wangu nisaidie kuwa mvumilivu.

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

🇺🇸 ni capitalist lakini ukienda hospitali na dharura utahudumiwa kwanza bili utaletewa. 🇹🇿ni socialist (Nchi ya kijamaa kwa mujib ya Kinana) lakini ukienda hospitali ya Serikali na dharura hupati huduma mpaka ulipe. Serikali inavunja MISINGI ya Katiba bila ya kujali!

🇺🇸 ni capitalist lakini ukienda hospitali na dharura utahudumiwa kwanza bili utaletewa.
🇹🇿ni socialist (Nchi ya kijamaa kwa mujib ya Kinana) lakini ukienda hospitali ya Serikali na dharura hupati huduma mpaka ulipe.

Serikali inavunja MISINGI ya Katiba bila ya kujali!
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Hatukatai uhifadhi lakini hatuwezi kuuzungumzia uhifadhi wakati tunaona mapande makubwa ya ardhi eneo hilohilo tunalosema linahifadhiwa wanapewa watu wa nje, wanapewa wawekezaji ambao wengi hawahifadhi, wengine wanaua wanyama, wanabeba wanyama, wengine wanajenga 'mahoteli'

"Moja ya hatua katika kushughulikia suala la utekaji kwa sababu hatujaridhika na hiki kinachofanyika, TLS inaandaa kongamano la kitaifa ambalo tutawaaalika wataalamu mbalimbali, Watanzania wote, tutakaa tujadili hatima yetu. Hata kijijini kukitokeza jambo ambalo tunaona halipati

WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

"Kwa siku za hivi karibuni, tuseme miaka takribani 10 hivi, Haki imekuwa bidhaa adimu, na imekuwa ni bidhaa ya gharama sana kuipata, na hii ni changamoto, na kwanini tunasema hivyo, tunaangalia haki watu za msingi kikatiba, haki za watu kupiga kura na kuchagua viongozi

Jeffrey Smith (@smith_jeffreyt) 's Twitter Profile Photo

#Uganda's leading pro-democracy campaigner and opposition candidate for president, BOBI WINE, has been shot by Ugandan authorities and taken to a local hospital. This is outrageous and must be widely condemned, especially by Washington, which funds this monstrous dictatorship.

BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

Uganda’s opposition leader Bobi Wine has been rushed to hospital with injuries sustained during a confrontation with police outside the capital, Kampala. Images show him being assisted by aides, bleeding from his left leg. bbc.in/3yTNrRz

WateteziTV (@watetezitv) 's Twitter Profile Photo

"Tupeni mgombea ambaye atakidhi matarajio ya watanzania, Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyaona/wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM." Nukuu ya Hayati, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

Chama cha ACT Wazalendo kimempa zaqadi ya Gari Juma Duni Haji katika hafla ya kusherehekea utumishi wake kama Mwenyekiti Mstaafu, hafla hiyo imefanyika hii leo tarehe 04 Septemba 2024 visiwan Zanzibar.

James Hall (@hallaboutafrica) 's Twitter Profile Photo

We're only supposed to remember the politicians? Today in 1909: The first trained and certified Ghanaian architect, Theodore S. Clerk, was born in Larteh. He also pioneered the science of urban planning, useful when he designed and planned Tema, Ghana’s port city, in the 1960s.

We're only supposed to remember the politicians? Today in 1909: The first trained and certified Ghanaian architect, Theodore S. Clerk, was born in Larteh. He also pioneered the science of urban planning, useful when he designed and planned Tema, Ghana’s port city, in the  1960s.
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: "kama kuna sheria za utekaji zimo katika biblia na kupiga watu...poteza watu zipo hata katika biblia lakini nani mlengwa?" "Huyu mtu ambaye tu amechana tu picha ya Rais peke yake ndiyo mlengwa huyo, na ameshtakiwa na amelipa faini, picha ya Rais si ipo kwenye magazeti,

Mwamvita Makamba (@makambas) 's Twitter Profile Photo

So my 18 years old daughter #MalaikaGray got her driver’s license today and is over the moon. She learnt to fly a plane before driving. We are grateful 🥹

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: “IMETOSHA MWACHIENI SOKA NA WENZAKE NA MSITEKE TENA NYIE WATEKAJI” - ASKOFU BAGONZA Anaandika Askofu Bagonza wa KKKT - Dayosisi ya Karagwe ALIYEMTEKA SOKA, KAITEKA POLISI ETI!? Kutekwa kwa Deusdedit Soka na wenzake kumepigiwa kelele sana. Hata mabubu waandamizi

#TANZANIA: “IMETOSHA MWACHIENI SOKA NA WENZAKE NA MSITEKE TENA NYIE WATEKAJI” - ASKOFU BAGONZA
Anaandika Askofu Bagonza wa KKKT - Dayosisi ya Karagwe

ALIYEMTEKA SOKA, KAITEKA POLISI ETI!?

Kutekwa kwa Deusdedit Soka na wenzake kumepigiwa kelele sana. Hata mabubu waandamizi