Dr. Fatema Juma
@fatemajuma17
Clinical Nutritionist, Fitness Trainer & Women’s Hormonal Health Specialist - PCOS Coach - 80 PCOS Babies - #DaktariWaLisheWaDar
ID: 1283715510
20-03-2013 16:44:17
279 Tweet
869 Followers
24 Following
#DADAZ : Daktari #fatema.juma17 anasema kipindi cha miaka ya nyuma ilizoeleka kukoma kwa hedhi ni kwa wanawake ambao umri umekwenda kidogo, miaka 55 au 60 lakini kwa sasa hata wale wenye miaka 35 wanapata changamoto ya kukoma kwa hedhi (Menopause ) Host: Bhoke Nia Egina & Guest :
#DADAZ : Wakati watu wengi wanashangaa inawezekanaje Mwanamke mwenye umri wa miaka 35 akapata dalili za ukomo wa hedhi, Daktari #fatema.juma17 ameweka wazi sababu hizo na moja wapo ni kula hovyo. Host: Bhoke Nia Egina & Guest : #fatema.juma17 #EastAfricaTV #HainaKuchoka #Jibooosti
#DADAZ : Ukiachana na nimechoka na leo sijisikii Daktari #fatema.juma17 ameweka wazi kuwa, kukosa hamu ya tendo la ndoa ni moja wapo ya dalili ya kukoma kwa hedhi. Host: Bhoke Nia Egina & Guest : #fatema.juma17 #EastAfricaTV #HainaKuchoka #Jibooosti #AirtelMoneySuperBonus