profile-img
Faras Tanzania

@farastanzania

Faras ni aina mpya ya Taxi-mtandao inayotoa huduma bora kwa gharama nafuu zaidi! Huku kukiwa na ofa kibao kwa abiria na madereva.

calendar_today22-11-2022 15:22:10

768 Tweets

4,0K Followers

5 Following

Faras Tanzania(@farastanzania) 's Twitter Profile Photo

FARAS LAUGH & RIDE😂🚖
Request usafiri wa gari na Faras Tanzania siku ya J’mosi Tar. 27/04/24 maeneo ya Mlimani City na upate kujumuika nami @Laughs_on_leonardo katika safari yako!

Safari hio ni bure kabisa mpaka uendako🤩.

FARAS LAUGH & RIDE😂🚖 Request usafiri wa gari na @farastanzania siku ya J’mosi Tar. 27/04/24 maeneo ya Mlimani City na upate kujumuika nami @Laughs_on_leonardo katika safari yako! Safari hio ni bure kabisa mpaka uendako🤩. #SafariNiFaras #RideAndLaugh
account_circle