Faras Tanzania(@farastanzania) 's Twitter Profile Photo

FARAS BIRIANI DAY😋🤩
Safiri na Faras Tanzania Ijumaa hii Tar. 03/05/24 kuja Shishi Food Dar es salaam na usafiri wa GARI upate ofa ya Biriani buree kwa wateja 50 wa kwanza kufika!

VIGEZO:
1. Safari yako iwe ya 1km na kuendelea.
2. ⁠Safari ni lazima iwe ya usafiri wa Gari.
3.

account_circle
Faras Tanzania(@farastanzania) 's Twitter Profile Photo

Wajanja wote wapo na Faras Tanzania 🐎🤩 Safiri ki-boss na gari upate punguzo kubwa la bei kutoka faras!

Pakua faras app leo na uzawadiwe 3,000/= bure unayoweza kutumia kama vocha au kutoa kama pesa taslimu.

Wajanja wote wapo na @farastanzania 🐎🤩 Safiri ki-boss na gari upate punguzo kubwa la bei kutoka faras!

Pakua faras app leo na uzawadiwe 3,000/= bure unayoweza kutumia kama vocha au kutoa kama pesa taslimu. 
#SafariNifaras
account_circle
Faras Tanzania(@farastanzania) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa na @farastanzani wewe ni zaidi ya dereva, Wewe ni FARAS CAPTAIN🫡 👨‍✈️

Jiunge sasa na Faras ujiongezee kipato chako kupitia ofa na abiria kibaoo!

account_circle
Faras Tanzania(@farastanzania) 's Twitter Profile Photo

Sasa unaweza kubadilisha sehemu uendayo moja kwa moja kupitia faras app Faras Tanzania hata kama tayari upo kwenye safari. Bonyeza sehemu ya ‘Change destination’ kisha weka mahali uendapo.

Si hivyo tu unaweza weka kituo zaidi ya kimoja ndani ya safari yako!

account_circle
Faras Tanzania(@farastanzania) 's Twitter Profile Photo

SHINDA 10,000/= BUREE!
Follow Faras Tanzania kisha tabiri matokeo sahihi ya mechi kati ya BAYERN MUNICHEN na REAL MADRID itayochezwa J’4 Tar 30 April 2024, Tag marafiki watano (5) kwenye comment yako na ujishindie 10,000 farasmiles kutoka faras.

Comment ya kwanza yenye matokeo

SHINDA 10,000/= BUREE!
Follow @farastanzania kisha tabiri matokeo sahihi ya mechi kati ya BAYERN MUNICHEN na REAL MADRID itayochezwa J’4 Tar 30 April 2024, Tag marafiki watano (5) kwenye comment yako na ujishindie 10,000 farasmiles kutoka faras.

Comment ya kwanza yenye matokeo
account_circle
Faras Tanzania(@farastanzania) 's Twitter Profile Photo

Sasa unaweza kubadilisha sehemu uendayo moja kwa moja kupitia faras app Faras Tanzania hata kama tayari upo kwenye safari. Bonyeza sehemu ya ‘Change destination’ kisha weka mahali uendapo.

Si hivyo tu unaweza weka kituo zaidi ya kimoja ndani ya safari yako!

account_circle
Faras Tanzania(@farastanzania) 's Twitter Profile Photo

FARAS LAUGH & RIDE😂🚖
Request usafiri wa gari na Faras Tanzania siku ya J’mosi Tar. 27/04/24 maeneo ya Mlimani City na upate kujumuika nami @Laughs_on_leonardo katika safari yako!

Safari hio ni bure kabisa mpaka uendako🤩.

FARAS LAUGH & RIDE😂🚖
Request usafiri wa gari na @farastanzania siku ya J’mosi Tar. 27/04/24 maeneo ya Mlimani City na upate kujumuika nami @Laughs_on_leonardo katika safari yako!

Safari hio ni bure kabisa mpaka uendako🤩. #SafariNiFaras #RideAndLaugh
account_circle
Faras Tanzania(@farastanzania) 's Twitter Profile Photo

Wakaribishe marafiki kujiunga na Faras Tanzania kupitia ‘Referral Code’ yako na uzawadiwe 500/= farasmiles kwa kila rafiki utayepakua na kujisajili na Faras app.

Rafiki utayemshawishi anahitajika kufanya safari angalau moja yenye 1km au zaidi ili uweze kutumia 500/= farasmiles

account_circle