FahadFuad (@fahad_fuad1) 's Twitter Profile
FahadFuad

@fahad_fuad1

Travel,Wildlife Photographer and Tanzania travel influencer.

There was once @unziptanzania

ID: 634736576

linkhttps://youtube.com/@wildbyfahadfuad calendar_today13-07-2012 17:39:19

2,2K Tweet

2,2K Followers

348 Following

FahadFuad (@fahad_fuad1) 's Twitter Profile Photo

Picha za mtaa zinazungumza sana. Check captions hapo chini kisha add yako. 1.Naskia Kenya Eid Kesho,Vipi Tanzania tutakula Eid kesho kweli? . . 2.Una buku 10 hapo niende weka mambo sawa hapo home kaka,alafu nitakurudishia? Poa ngoja nikacheki . Shot on Samsung s24 Ultra.

Picha za mtaa zinazungumza sana. Check captions hapo chini kisha add yako. 

1.Naskia Kenya Eid Kesho,Vipi Tanzania tutakula Eid kesho kweli?
.
.
2.Una buku 10 hapo niende weka mambo sawa hapo home kaka,alafu nitakurudishia? Poa ngoja nikacheki
.
Shot on Samsung s24 Ultra.