Hadhamin Fadhlrabby (@fadhlrabby) 's Twitter Profile
Hadhamin Fadhlrabby

@fadhlrabby

Never give up

ID: 1212276435936673793

calendar_today01-01-2020 07:37:27

5,5K Tweet

867 Followers

761 Following

Malik Afif (@malikafif84) 's Twitter Profile Photo

Weka Ndoto zako zikiwa hai, ili kufikia chochote inahitaji Imani na kujiamini, Maono, Bidii, Azimio, na kujitolea, kumbuka mambo yote yanawezekana kwa wale wanaoamini, Jiamini na utende kana kwamba haiwezekani kushindwa.

Malik Afif (@malikafif84) 's Twitter Profile Photo

Asante Mungu kwa kutuongoza katika wiki hii, na kwa kutufikisha karibu na mwisho wa mwezi huu, Asante Mungu kwa Ulinzi na Msaada wako ๐Ÿ™

Al Jazeera Breaking News (@ajenews) 's Twitter Profile Photo

An Israeli attack on โ€Œa marked media car in Lebanon has killed at โ least three Lebanese journalists. One of the reporters who died had recently reported on the death of seven relatives in an attack on her family home. The Lebanese PM condemned the killings.

True Promise - ุงู„ูˆุนุฏ ุงู„ุตุงุฏู‚ โœช๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท (@irtruepromise) 's Twitter Profile Photo

A three year old Iranian girl is trying to call her father, who was killed by US and Israeli terrorist forces. When the call goes unanswered, she breaks down in tears, unaware that he will never return ๐Ÿ’”.

๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Iliyarajiwa itokee Iran, ila ni Waisraeli ambao wameinua bendera ya uasi. Huko Tel Aviv, polisi waliwashambulia waandamanaji Wayahudi wanaopinga vita, na idadi kubwa ya watu walikamatwa.

Jackson Hinkle ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@jacksonhinklle) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ’”๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท WATCH: Footage from Tehran shows a childโ€™s foot hanging from the side of a house after a U.S.-Israeli missile struck civilian homes

Malik Afif (@malikafif84) 's Twitter Profile Photo

Nikarudi na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si Watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo,

Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

๐ŸšจJonas Gerard Mkude hayupo dimbani kwa muda mrefu kwa sababu Kuna madai yake dhidi ya timu yake ya zamani (Amphibia) ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ ambayo kesi ameifungua TFF ili alipwe kile anachodai kabla hajajiunga timu yoyote ndio maana alikataa wazo la kutolewa kwa mkopo kwenda kulima Alizeti

๐ŸšจJonas Gerard Mkude hayupo dimbani kwa muda mrefu kwa sababu Kuna madai yake dhidi ya timu yake ya zamani (Amphibia) ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ ambayo kesi ameifungua TFF ili alipwe kile anachodai kabla hajajiunga timu yoyote ndio maana alikataa wazo la kutolewa kwa mkopo kwenda kulima Alizeti
๐‡๐š๐›๐ข๐ข๐› ๐˜๐š๐ก๐ฒ๐š (@habiibyahyaa) 's Twitter Profile Photo

Mitandao ya kijamii nchini Misri imekumbwa na ukosoaji mkali dhidi ya matamshi ya msemaji wa "Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya" (Kamandi ya Jeshi la Iran), Ibrahim Dhu al-Faqari. Katika matamshi hayo, alidai kuwa Waarabu walishindwa katika Vita vya Oktoba 1973, kama

NGUCHIRO๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@nguchiro47) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘‰ Tunashirikiana na Wamarekani majimbo yote kusimama imara, hatutakubali udikteta wala utawala wa nguvu za Donald trump ๐Ÿ‘‰ Hakuna kiongozi anayeweza kudhibiti taifa au kudhoofisha sauti ya wananchi wa Marekani, uhuru na haki za Wamarekani ni msingi wa taifa la Marekani.

Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ MUENDELEZO WA SHAURI LA MOHAMMED DAMARO CAMARA KUHUSU URAIA WAKE KAMA JEMEDARI SAID KAZUMARI ALIVYOELEZEA HAPA๐Ÿ‘‡ SIMBA SC Vs MOHAMED DAMARO CAMARA & YANGA SC Tuliishia kwamba Simba SC hawana shida na uraia wa Damaro wa Kiserikali, passport, card ya NIDA,haki zake kisiasa na

๐Ÿšจ MUENDELEZO WA SHAURI LA MOHAMMED DAMARO CAMARA KUHUSU URAIA WAKE KAMA JEMEDARI SAID KAZUMARI ALIVYOELEZEA HAPA๐Ÿ‘‡

SIMBA SC Vs MOHAMED DAMARO CAMARA & YANGA SC
Tuliishia kwamba Simba SC hawana shida na uraia wa Damaro wa Kiserikali, passport, card ya NIDA,haki zake kisiasa na
Malik Afif (@malikafif84) 's Twitter Profile Photo

Mara tu unapoanza kupenda kitu, omba kwamba kisikujaribu, omba kwamba usipoteze kamwe, Mshukuru Mwenyezi Mungu kila mara kwa ajili yake, na uhakikishe kwamba Upendo wako kwake ni mkubwa kuliko Upendo wako kwa kitu hicho.

Malik Afif (@malikafif84) 's Twitter Profile Photo

Ewe Mwenyezi Mungu sijui unapanga nini kwangu! Lakini hata hivyo nitachagua kukuamini kila wakati, hata katika Maumivu, hata katika Machozi, hata katika kutokuwa na uhakika, naamini kabisa Mipango yako kwangu, nipe Mafanikio na Muongozo ili niweze kupitia yote.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

KUTOKA KATIKATI YA KUTA ZA MAGEREZA UKONGA, ANAANDIKA TUNDU ATIPHAS LISU: Mwaka 1988 mto Vaal huko Free State ulifurika na kujaza bwawa kubwa la kuzalisha umeme la Vaal Dam. Bwawa likazidiwa maji na kutapika. Sehemu kubwa ya maji yakaenda kuathiri mashamba ya makaburu huko Free

KUTOKA KATIKATI YA KUTA ZA MAGEREZA UKONGA, ANAANDIKA TUNDU ATIPHAS LISU:

Mwaka 1988 mto Vaal huko Free State ulifurika na kujaza bwawa kubwa la kuzalisha umeme la Vaal Dam. Bwawa likazidiwa maji na kutapika. Sehemu kubwa ya maji yakaenda kuathiri mashamba ya makaburu huko Free
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Donald Trump amesalimu amri kabisa mbele ya ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran 1 Machi: Trump ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ: โ€œTutafanya mabadiliko ya utawala (regime change) Iran kwa gharama yoyoteโ€ ๐Ÿ˜‚ 10 Machi: Trump ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ: โ€œTumemaliza kabisa uongozi wote wa Iranโ€ ๐Ÿ˜‚ 15 Machi: Trump ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ: โ€œIran italazimika kufungua

George Ambangile (@george_ambangil) 's Twitter Profile Photo

Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo 1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki " 2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ? Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana

๐‡๐š๐›๐ข๐ข๐› ๐˜๐š๐ก๐ฒ๐š (@habiibyahyaa) 's Twitter Profile Photo

โ€œNi kweli Marekani ameleta mabadiliko ya mfumo wa Utawala ila sio Iran bali Mlango Bahari wa Homuz, fuata sheria yetu hakuna Meli ama chombo chochote kupita bila kulipa ama ukaidi tukufurahishe, mfumo mpya ndio huu ile miaka 47 ya kupita bure sasa imetamatika rasmiโ€ - Brigedia

Revo Sports (@revocatusmagum1) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„ || IRIZAR la Simba lipo kwenye maji linakuja Tanzania sambamba na Bus lingine la Jayrutty Investment Mhaya amepania

๐Ÿšจ๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„ || IRIZAR la Simba lipo kwenye maji linakuja Tanzania sambamba na Bus lingine la Jayrutty Investment 

Mhaya amepania