In Every Crime,there is always a trail of evidence that is left behind.
Fatilia mkasa huu wa mauaji ya kutisha yaliyotokana na kifo cha mtu mmoja tu.
"A CHAIN OF MURDER CRIMES"
UZI👇
#simulizizabuyobe
Kwa siku ya leo amani imetawala hakuna hata kibaka atasumbua full ulinz mtaan yaan leo ndo nimejua kua tuna polisi wako ajil ya ulinzi na usalama wetu na mali zetu asee,ingekua ni ivi siku zote WATEKAJI wasingeweza