Lusingu (@fadhililusingu) 's Twitter Profile
Lusingu

@fadhililusingu

Health officer| Mwanachama wa Dar Young African(Yanga)|Common sense is not common|

ID: 797899777572831237

calendar_today13-11-2016 20:31:46

9,9K Tweet

598 Followers

185 Following

Lusingu (@fadhililusingu) 's Twitter Profile Photo

Hakuna umri sahihi wa kutokufanya makosa Saphia, mara nyingi mtu anafanya kosa kwa kutokujua ila akijua hawezi kufanya kosa So unaweza ukawa hata na miaka 60 ukafanya makosa vile vile

Lusingu (@fadhililusingu) 's Twitter Profile Photo

Well, kama wanafuata na ratiba kama ulivyosema, wanapataje hasara wakati online ticket zimeisha ana inaonekana ndege imejaa?? Hata kama itaondoka na watu 30 au 50, hasara inatokea wapi?