Eng. Alfred Makari (@fademark) 's Twitter Profile
Eng. Alfred Makari

@fademark

Engineer
+255 713 232 494

ID: 24664247

calendar_today16-03-2009 07:48:27

881 Tweet

231 Followers

425 Following

ITVTanzania (@itvtanzania) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kampuni ya Acacia imefutwa,sasa kampuni ya Barick Corporation na Serikali ya Tanzania imeunda kampuni ya ubia inayoitwa Twiga Minerals Corporation,ambapo serikali ya Tanzania ina asilimia 16 na Barick asilimia 84.

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

Kiukweli UKRISTO ulianza kunishinda pale ambapo Habari za Ujio wa pili wa Mwanakondoo, zilivyokuwa replaced by sermons za worldly prosperity & relationships. Yesu alizaliwa kwenye zizi la Ng'ombe, akawa Selemara, akalala milimani, na kutembea kwa miguu. WACHUNGAJI WETU SASA 😩

CCBRT (@ccbrttanzania) 's Twitter Profile Photo

Without the appropriate treatment and care, physical impaired individuals struggle to complete day to day tasks, attend school, find a job and engage in their communities.

Without the appropriate treatment and care, physical impaired individuals struggle to complete day to day tasks, attend school, find a job and engage in their communities.
Mamwavi_Nkabasia (@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

Aibu ya taifa hawa ndio tunaotegemea kulinda watu na mali zao na kutenda haki. Malori ya mchanga na mabus madogo kama Noah wana vituo kabisa vya kupeleka rushwa. Lori la mchanga 5000/= Noah 2000/= Na hakuna anaejali kwa kuwa kuna maneno wanagawana na wakubwa zao.

MudharaGee (@mudharagee) 's Twitter Profile Photo

This is not just for the youth of Tanzania but for all the youth under dictatorship around the world . The youth are in shackles of poverty and need to rise and claim their heritage. For the youth of Tanzania,the time is now.