Odhiambo Cairo (@f2be5f27178a499) 's Twitter Profile
Odhiambo Cairo

@f2be5f27178a499

ID: 2861930024

calendar_today18-10-2014 05:11:25

7,7K Tweet

449 Followers

599 Following

Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Unajiuliza amekosa Nini mpaka ahangaike kupigania watu Wengine,Kama ni nyumba nzuri anayo Mke mzuri Anae watoto magari na kadhalika,Unagundua kuwa nchi hii inahitaji watu watakao umia Kwa ajili ya Wengine,Watu watakao pigwa Kwa ajili ya Wengine, Retweet 2000 Kwa Heshima kwake

Unajiuliza amekosa Nini mpaka ahangaike kupigania watu Wengine,Kama ni nyumba nzuri anayo Mke mzuri Anae watoto magari na kadhalika,Unagundua kuwa nchi hii inahitaji watu watakao umia Kwa ajili ya Wengine,Watu watakao pigwa Kwa ajili ya Wengine,

Retweet 2000 Kwa Heshima kwake
Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama tumpe retweet 1000

Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama

tumpe retweet 1000
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Kwa hali ya Kiusalama iliyopo Nchini kwa sasa. Utekaji wa wakosoaji na Upotezaji wa watu Ukiniuliza sababu za Tanganyika kudai Uhuru na Kujitawala sidhani kama nitakuwa na Jawabu sahihi. Hata wakoloni na tamaa zao hawakuwahi kuwa na Kiu ya Damu za wakosoaji wao kwa kiwango

Kwa hali ya Kiusalama iliyopo Nchini kwa sasa.

Utekaji wa wakosoaji na Upotezaji wa watu Ukiniuliza sababu za Tanganyika  kudai Uhuru na Kujitawala sidhani kama nitakuwa na Jawabu sahihi.

Hata wakoloni na tamaa zao hawakuwahi kuwa na Kiu ya Damu za wakosoaji wao kwa kiwango
Theresia wika (@wika_theresia) 's Twitter Profile Photo

Triste destinée pour cette jeune femme 💔😭: AVANT : elle était une footballeuse professionnelle et vivait de sa passion ⚽️ MAINTENANT : après un accident, qui lui a fait perdre l'usage de ses deux jambes, elle vit désormais à la maison, avec beaucoup de tristesse et d'espoir 😢

Triste destinée pour cette jeune femme 💔😭:
AVANT : elle était une footballeuse professionnelle et vivait de sa passion ⚽️
MAINTENANT : après un accident, qui lui a fait perdre l'usage de ses deux jambes, elle vit désormais à la maison, avec beaucoup de tristesse et d'espoir 😢
MWANAMAPINDUZI (@machumukadutu) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 177 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Koplo Michael. Mhe. Lissu: Kwahiyi P8 alikuwa amefanya kosa? Koplo Michael: ni kweli alikuwa amefanya makosa Mhe. Lissu: Kwahiyo maelezo yake hayapo? Koplo Michael: Sijayaleta Mhe.

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI

Part 177 

Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Koplo Michael.

Mhe. Lissu: Kwahiyi P8 alikuwa amefanya kosa? 

Koplo Michael: ni kweli alikuwa amefanya makosa 

Mhe. Lissu: Kwahiyo maelezo yake hayapo? 

Koplo Michael: Sijayaleta 

Mhe.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 186 ASP Geofrey Lutufye : Ni kweli yangu. Mhe. Lissu: Ni sheria gani inayosema ni kosa la jinai? ASP Geofrey Lutufye : Siwezi kujua. Mhe. Lissu: Sasa ulienda kukamata watu kwa kosa gani walilofanya wakati hujui kosa lao? Ulienda kuwakamatia

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

MPANGO NA SHERIA YEYOTE INAYOTUNGWA KWANJIA NA SABABU ZA KIBAGUZI NI UVUNJAJI WA SHERIA ,KATIBA NA MIKATABA YA KIMATAIFA. Huwezi kuzungumzia kupatanisha kampuni mbili za kigeni ili zibaki kufaidi Ngorongoro halafu wakati huohuo ufikirie eti kutafuta suluhisho la kisheria kwa

Child of God (@inexorablesog) 's Twitter Profile Photo

Umeandika blah blah nyingi sana humu na viuongo unavyovipush kuwa ukweli. Kama kitu hujui uliza, huwezi kuuliza ...kaa kimya, hiyo nayo ni hekima. Unasema Yesu hakuwa mkristo...sasa anakuwaje Mkristo wakati yeye ndio Kristo mwenyewe. Hilo neno "mpakwa mafuta" Masihi" ndio

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mnatesa watu wengine kwa kuwaweka gerezani kwa mashtaka ya uongo na kughushi, kuwateka na kuwapoteza. Mnatembea VX.R V8 full kipupwe, lakini mkishtuka moyo kidogo tu, mnadedi papo kwa papo kama mshumaa. Hivi ninyi mngeliweza kuishi gerezani siku 350 kwa kusingiziwa? Takbīr.

Mercides  (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

Kuna hii twit ya Mtumishi Mungu Godbless lema ya jana , akizungumzia mambo ya sex kabla ya ndoa na baada ya Ndoa, hiyo twit haikuwa na maana hiyo , maana yake ni hii hapa Ni kwamba tupate katiba mpya kwanza ndo malidhiano yafanyike na pili tufanye malidhiano kwanza ndo tupate

Kuna hii twit ya Mtumishi Mungu Godbless lema ya jana , akizungumzia mambo ya sex kabla ya ndoa na baada ya Ndoa, hiyo twit haikuwa na maana hiyo , maana yake ni hii hapa

Ni kwamba tupate katiba mpya kwanza ndo malidhiano yafanyike na pili tufanye malidhiano kwanza ndo tupate