Unbroken๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@exautunbroken) 's Twitter Profile
Unbroken๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@exautunbroken

MBEYA _BOY| Mancity &Simba ๐Ÿฆ fan |GAME FOR LIFE ๐ŸŽฎ| Data analyst|
Nyakyusa boy ๐ŸŒš
๐Ÿ“ž0753549005 or 0652549075

ID: 1768694436286910464

calendar_today15-03-2024 17:43:39

22,22K Tweet

6,6K Followers

6,6K Following

๐— ๐—ฟ ๐˜€๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ผ (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

MfahaM: ๐—™๐—œ๐——๐—˜๐—Ÿ ๐—–๐—”๐—ฆ๐—ง๐—ฅ๐—ข Mwanaharakati na kiongozi wa Mapinduzi ya CUBA na Rais wa nchi hiyo kutoka [1959] hadi [2008] . Fidel Alejandro Castro Ruz alizaliwa tarehe 13 Agosti 1926 katika kijiji cha Birรกn, mashariki Mwa Cuba... [ Fungua Uzii ] ๐Ÿงต โฌ‡๏ธ

MfahaM: ๐—™๐—œ๐——๐—˜๐—Ÿ ๐—–๐—”๐—ฆ๐—ง๐—ฅ๐—ข 

Mwanaharakati na kiongozi wa Mapinduzi ya CUBA na Rais wa nchi hiyo kutoka [1959] hadi [2008] .

Fidel Alejandro Castro Ruz alizaliwa tarehe 13 Agosti 1926 katika kijiji cha Birรกn, mashariki Mwa Cuba... 

[ Fungua Uzii ] ๐Ÿงต โฌ‡๏ธ
Zumbe Khan๐Ÿ‘‘ (@zumbekhan) 's Twitter Profile Photo

HII HAPA LIST YA VIUMBE/WANYAMA HATARI ZAIDI DUNIANI WANAOANGAMIZA ZAIDI BINADAMU ๐Ÿ™Œ Shuka na Uzi (Thread)๐Ÿงตโคต๏ธ 1. MAMBA. Mamba husababisha vifo kwa watu zaidi ya elfu Tatu (3,000) kwa kila mwaka na wengine hupata majeraha.

HII HAPA LIST YA VIUMBE/WANYAMA HATARI ZAIDI DUNIANI WANAOANGAMIZA ZAIDI BINADAMU ๐Ÿ™Œ

Shuka na Uzi (Thread)๐Ÿงตโคต๏ธ

1. MAMBA.
Mamba husababisha vifo kwa watu zaidi ya elfu Tatu (3,000) kwa kila mwaka na wengine hupata majeraha.
Emmaboy (@emaboynic) 's Twitter Profile Photo

Ifahamu historia ya kompyuta mpaka hapa tulipokia kwenye kizazi cha Artificial intelligence(AI) ...... Mpaka kufikia kizazi hiki(KIZAZI CHA AI) cha kompyuta tulichopo ambamo kompyuta inaweza kufanya vitu vigumu kiurahisi. Kwa mfano kuweza kuedit picha(kama grok anavovua nguo

Ifahamu historia ya kompyuta mpaka hapa tulipokia kwenye kizazi cha Artificial intelligence(AI)
......
Mpaka kufikia kizazi hiki(KIZAZI CHA AI) cha kompyuta tulichopo ambamo kompyuta inaweza kufanya vitu vigumu kiurahisi. Kwa mfano kuweza kuedit picha(kama grok anavovua nguo
Binamu (@binamu01) 's Twitter Profile Photo

Unamkumbuka yule jamaa aliyekuwa anatingisha FNL pale EATV? Ndiye huyo huyo โ€“ Sam Misago aka Presenter's President. Leo tunadumbukia deep kwenye safari yake alipotoka, alivyoanguka, na kwanini watu humlinganisha na Millard Ayo. Karibu kwenye uzi wa ukweli..๐Ÿงต๐Ÿงต

Unamkumbuka yule jamaa aliyekuwa anatingisha FNL pale EATV? Ndiye huyo huyo โ€“ Sam Misago aka Presenter's President. Leo tunadumbukia deep kwenye safari yake alipotoka, alivyoanguka, na kwanini watu humlinganisha na Millard Ayo.

Karibu kwenye uzi wa ukweli..๐Ÿงต๐Ÿงต
๐”๐ƒ-๐๐Ž๐˜ (@udsm_finest) 's Twitter Profile Photo

Siri za Kifo cha Mohbad: Hadithi Isiyoisha Septemba 12, 2023, msanii wa Nigeria Mohbad alifariki akiwa na miaka 27, na kuacha wimbi la maswali na tuhuma. Je, ni mauaji, uzembe, au siri isiyotatuliwa? Hadi leo, kifo chake kinazungumzwa kwa uchungu, Je, ni nini kilichotokea

Siri za Kifo cha Mohbad: Hadithi Isiyoisha

Septemba 12, 2023, msanii wa Nigeria Mohbad alifariki akiwa na miaka 27, na kuacha wimbi la maswali na tuhuma.

 Je, ni mauaji, uzembe, au siri isiyotatuliwa? Hadi leo, kifo chake kinazungumzwa kwa uchungu, 


Je, ni nini kilichotokea