Binamu (@binamu01) 's Twitter Profile
Binamu

@binamu01

Panaitwa lyebe,mimi napaita nyumbani.

ID: 1458880516778831878

calendar_today11-11-2021 19:33:36

62,62K Tweet

6,6K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Binamu (@binamu01) 's Twitter Profile Photo

Unamkumbuka yule jamaa aliyekuwa anatingisha FNL pale EATV? Ndiye huyo huyo – Sam Misago aka Presenter's President. Leo tunadumbukia deep kwenye safari yake alipotoka, alivyoanguka, na kwanini watu humlinganisha na Millard Ayo. Karibu kwenye uzi wa ukweli..🧵🧵

Unamkumbuka yule jamaa aliyekuwa anatingisha FNL pale EATV? Ndiye huyo huyo – Sam Misago aka Presenter's President. Leo tunadumbukia deep kwenye safari yake alipotoka, alivyoanguka, na kwanini watu humlinganisha na Millard Ayo.

Karibu kwenye uzi wa ukweli..🧵🧵