Erick Thomas (@erick_thomas2) 's Twitter Profile
Erick Thomas

@erick_thomas2

#charity begins at home

ID: 1529361647533441024

calendar_today25-05-2022 07:21:49

205 Tweet

613 TakipΓ§i

1,1K Takip Edilen

Simon L. Matiko (@simonmatiko_) 's Twitter Profile Photo

Hii ni mkoa gani tena watu watandikwa fimbo kama watoto wa shule ya msingi πŸ˜‚πŸ˜‚ Nani kaamrisha watu wachapwe namna hii jamani, hii haikubaliki.

Erick Thomas (@erick_thomas2) 's Twitter Profile Photo

siku zote kwenye maisha tupenda tunaowaumiza,tuwaumiza tunaowapenda..unamuumiza anaekupenda,ila kuna mtu mwingine anampenda siku akijuwa ataumia sana sababu ujapenda

siku zote kwenye maisha tupenda tunaowaumiza,tuwaumiza tunaowapenda..unamuumiza anaekupenda,ila kuna mtu mwingine anampenda siku akijuwa ataumia sana sababu ujapenda
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

β€œTangu nazaliwa sijawahi kupata kuona nchi yenye binadamu wenye chuki baada ya kuona mtu kafanikiwa kama Tanzania, tangu nazaliwa sijapata kuona nchi yenye wajuaji wengi kama Tanzania” β€” Barakah The Prince.

β€œTangu nazaliwa sijawahi kupata kuona nchi yenye binadamu wenye chuki baada ya kuona mtu kafanikiwa kama Tanzania, tangu nazaliwa sijapata kuona nchi yenye wajuaji wengi kama Tanzania”

β€” Barakah The Prince.
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Mtoto kazama kwenye penzi la muhuni...Kiruu 😁😁 Mwanamke akikukubali hata kama hauna maokoto atauza hata nyumba ya baba ake akupe pesa. Mwamba A$AP Rocky sio kwamba ana pesa kuliko Rihanna. Jamaa mwenyewe anasema wala hakuwahi kuwaza kuwa na Riri. Soma Zaidi:πŸ‘‡πŸ‘‡

Mtoto kazama kwenye penzi la muhuni...Kiruu 😁😁

Mwanamke akikukubali hata kama hauna maokoto atauza hata nyumba ya baba ake akupe pesa. 

Mwamba A$AP Rocky sio kwamba ana pesa kuliko Rihanna. Jamaa mwenyewe anasema wala hakuwahi kuwaza kuwa na Riri.

Soma Zaidi:πŸ‘‡πŸ‘‡
HESLB Tanzania (@heslbtanzania) 's Twitter Profile Photo

HESLB leo Oktoba 09, 2024 imetangaza awamu ya pili ya orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2024/2025. Waombaji mikopo na ruzuku wanakumbushwa kufuatilia taarifa za maombi yao kupitia akaunti za β€˜SIPA’ walizotumia kuomba mkopo

HESLB leo Oktoba 09, 2024 imetangaza awamu ya pili ya orodha ya wanafunzi wenye sifa waliopangiwa mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2024/2025. 

Waombaji mikopo na ruzuku wanakumbushwa kufuatilia taarifa za maombi yao kupitia akaunti za β€˜SIPA’ walizotumia kuomba mkopo
π‹πšπ›πžπ₯π₯𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐒𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Kwa nini dunia haizalishi wanaume kama hawa tena? Kwa nini matumbo yetu yanazaa watoto walafi wa madaraka na waroho wa utajiri? Matumbo yetu yazaa watu wakatili na wasiokubali kukosolewaβ€”na watu wabainafsi. Mungu turudishie kizazi cha Kina Kwame Nkrumah na kina Kaunda.

Kwa nini dunia haizalishi wanaume kama hawa tena?

Kwa nini matumbo yetu yanazaa watoto walafi wa madaraka na waroho wa utajiri?

Matumbo yetu yazaa watu wakatili na wasiokubali kukosolewaβ€”na watu  wabainafsi.

Mungu turudishie kizazi cha Kina Kwame Nkrumah na kina Kaunda.
Gabo Zigamba (@gabozigamba_) 's Twitter Profile Photo

#Balozikasema Kunyamaza ni hekma ila usiache kuusema ukweli kwani uwongo ukienea wajinga huongezaka. Wangap wanasema MAWIO iendelee?

#Balozikasema 

Kunyamaza ni hekma  ila usiache kuusema ukweli kwani uwongo ukienea wajinga huongezaka.
Wangap wanasema MAWIO iendelee?