Enock Patrick (@enockpatrick_) 's Twitter Profile
Enock Patrick

@enockpatrick_

Executive Director at @PHTanzania_ |Co-founder and Chairman at @AfyaFansOrg_ |Human rights defender|Public health advocate

ID: 1516289067272527872

linkhttps://www.phtanzania.or.tz calendar_today19-04-2022 05:35:30

149 Tweet

261 Followers

205 Following

Amref Tanzania (@amreftanzania) 's Twitter Profile Photo

โœจUZAZI NI MAISHA!! โœจ Umekuwa miongoni wa MAELFU waliogusa maisha ya mama na mtoto kupitia Kampeni ya UZAZI NI MAISHA yenye lengo la uchangiaji wa VIFAA TIBA KWA UZAZI SALAMA! ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ฆ๐Ÿคฐ๐Ÿพ ๐Ÿค Tulianza Pamoja, Karibu tena TUHITIMISHE PAMOJA! Changia tena leo โ€“ Leta Tofauti - Gusa Afya

Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu leo Septemba 18, 2024 ameongoza kikao cha kitaifa cha uratibu wa huduma za chanjo nchini lengo ikiwa kufanya mapitio ya taarifa za utekelezaji wa huduma za chanjo nchini. Kikao hicho ambacho kimefanyika ofisi ndogo za wizara ya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu  leo Septemba 18, 2024 ameongoza  kikao cha kitaifa cha uratibu wa huduma za chanjo nchini lengo ikiwa kufanya mapitio ya taarifa za utekelezaji wa huduma za chanjo nchini.

Kikao hicho ambacho kimefanyika ofisi ndogo za wizara ya
GBV Prevention Net (@gbvnet) 's Twitter Profile Photo

Safety for girls and women everywhere should be the norm. National policies and societal norms that harm girls and women should be assessed and changed to foster a violence-free society for all. #EndVAWG #EndViolence

Safety for girls and women everywhere should be the norm. National policies and societal norms that harm girls and women should be assessed and changed to foster a violence-free society for all.

#EndVAWG
#EndViolence
Wizara ya Afya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO YA LISHE, UDUMAVU Na WAF, NJOMBE Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika halmashauri za mkoa wa Njombe watatatua changamoto za kiafya zinazojitokeza ndani ya jamii ikiwa ni pamoja na udumavu na ukosefu wa lishe bora. Hayo

WAHUDUMU  WA  AFYA NGAZI YA JAMII KUTATUA  CHANGAMOTO  YA LISHE, UDUMAVU

Na WAF, NJOMBE

Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika halmashauri  za mkoa wa Njombe watatatua changamoto za kiafya zinazojitokeza ndani ya jamii ikiwa ni pamoja na udumavu na ukosefu wa lishe bora.

Hayo
GBV Prevention Net (@gbvnet) 's Twitter Profile Photo

A gentle reminder that care also includes treating ourselves and others with compassion, dignity and respect. #SelfCare #CollectiveCare #EndVAWG #CareSunday

A gentle reminder that care also includes treating ourselves and others with compassion, dignity and respect.

#SelfCare #CollectiveCare #EndVAWG #CareSunday
Raising Voices (@raisingvoices) 's Twitter Profile Photo

As we begin the #16Days of Activism against #VAW, we join activists and practitioners in learning about the inspiring work of partners worldwide, committed to preventing all forms of #VAWG. Check out UN Trust Fund to End Violence against Women special #16Days In Focus webpage bit.ly/UNTF_16DOA24

As we begin the #16Days of Activism against #VAW, we join activists and practitioners in learning about the inspiring work of partners worldwide, committed to preventing all forms of #VAWG.

Check out UN Trust Fund to End Violence against Women special #16Days In Focus webpage

bit.ly/UNTF_16DOA24
Enock Patrick (@enockpatrick_) 's Twitter Profile Photo

1st out of 16 days of activism in ending violences against women, Women deserve nothing less of equitable access to their basic rights. #EndViolencesAgainstWomen #BeijingDeclaration2024

1st out of 16 days of activism in ending violences against women,

Women deserve nothing less of equitable access to their basic rights.
#EndViolencesAgainstWomen
#BeijingDeclaration2024
Enock Patrick (@enockpatrick_) 's Twitter Profile Photo

They(Women) don't need to prove to anyone that they deserve to get what they want, it's not a favor but their basic right to be freed from all forms of violences. #16DaysOfActivism2024 #GenderBasedViolence #WomenEmpowerment

Enock Patrick (@enockpatrick_) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa ni siku ya 3 kati ya siku 16 za uanaharakati juu ya kupinga unyanyasaji dhidi ya wanawake Duniani. Hivi ndivyo wanawake walivyojitokeza na kupiga kura katika #Uchaguzi wa serikali za mitaa Leo. Ni haki ya Kila mwanamke kushiriki michakato ya kidemokrasia na kimaendeleo.

Ikiwa ni siku ya 3 kati ya siku 16 za uanaharakati juu ya kupinga unyanyasaji dhidi ya wanawake Duniani. Hivi ndivyo wanawake walivyojitokeza na kupiga kura katika #Uchaguzi wa serikali za mitaa Leo. Ni haki ya Kila mwanamke kushiriki michakato ya kidemokrasia na kimaendeleo.
GBV Prevention Net (@gbvnet) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ธSnapshots Raising Voices participated in the Launch of the Budgeting For Peace study, a cost benefit analysis. The launch aims to present the findings & generate the momentum and support needed to influence policy & financing for the elimination of #GBV. #16Days

๐Ÿ“ธSnapshots

Raising Voices participated in the Launch of the Budgeting For Peace study, a cost benefit analysis.

The launch aims to present the findings & generate the momentum and support needed to influence policy & financing for the elimination of #GBV.

#16Days
Enock Patrick (@enockpatrick_) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Jinsia na ustawi wa wanafunzi MUHASSO, Kwa kushirikiana na My Health Jogging Team na Raising Voices inakukaribisha katika mbio maalumu kwa Lengo la kupinga ukatili dhidi ya wanawake Duniani zitakazofanyika Kesho jumamosi asubuhi. #ViolenceAgainstWomen #16DaysOfActivism2024

Wizara ya Jinsia na ustawi wa wanafunzi MUHASSO, Kwa kushirikiana na My Health Jogging Team na Raising Voices inakukaribisha katika mbio maalumu kwa Lengo la kupinga ukatili dhidi ya wanawake Duniani zitakazofanyika Kesho jumamosi asubuhi.
#ViolenceAgainstWomen
#16DaysOfActivism2024
Enock Patrick (@enockpatrick_) 's Twitter Profile Photo

A #Marathon dedicated to advocating for elimination of violence against women is on early tomorrow morning. Join this initiative movement #16DaysOfActivismAgainstGBV GBV Prevention Net Raising Voices

A #Marathon dedicated to advocating for elimination of violence against women is on early tomorrow morning. Join this initiative movement
#16DaysOfActivismAgainstGBV
GBV Prevention Net Raising Voices
Mohammed Dewji MO (@moodewji) 's Twitter Profile Photo

Twende Kazi! ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ #2025, natafuta wajasiriamali wa kuwawezesha nchini #Tanzania. Ni sehemu gani katika biashara yako ungependa kuwa na rasilimali zaidi au msaada ili iweze kukua? Je, biashara yako iko tayari kufaidika na msaada na uwekezaji ili kukua? Taja mafanikio uliyopata

Twende Kazi! ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ #2025, natafuta wajasiriamali wa kuwawezesha nchini #Tanzania.

Ni sehemu gani katika biashara yako ungependa kuwa na rasilimali zaidi au msaada ili iweze kukua? Je, biashara yako iko tayari kufaidika na msaada na uwekezaji ili kukua?

Taja mafanikio uliyopata