ZestyHaidary (@zestyhaidary) 's Twitter Profile
ZestyHaidary

@zestyhaidary

All what you know is not fact, and that you see is not true but perception.

ID: 1429459178339381251

calendar_today22-08-2021 15:03:49

4,4K Tweet

589 Followers

390 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku muhimu na ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo tumehitimisha safari tuliyoianza miaka miwili iliyopita kwa kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ikiwa ni mara ya pili kwa Taifa letu kufanya hivi tangu Uhuru. Dira hii ni maoni ya wananchi wote ambapo kwa miaka 25

Leo ni siku muhimu na ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo tumehitimisha safari tuliyoianza miaka miwili iliyopita kwa kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ikiwa ni mara ya pili kwa Taifa letu kufanya hivi tangu Uhuru. Dira hii ni maoni ya wananchi wote ambapo kwa miaka 25
Tanzania Ya Samia (@tanzaniayamama) 's Twitter Profile Photo

๐—๐—ฎ๐—ฐ๐—ธ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฒ ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ณ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐—ฒ๐—ป๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐—บ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐Ÿญ,๐Ÿฑ๐Ÿด๐Ÿฌ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ถ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿญ ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ. #OktobaTunatikiSamia

Natalia John (@nataliajohn19) 's Twitter Profile Photo

Serikali imeondoa kodi ya ongezeko la thamani kwa mbolea inayozalishwa ndani ya nchi kwa kipindi cha miaka 3. Lengo la hatua hii ni kuleta unafuu kwa wakulima na walaji. #OktobaTunatikiSamia

Serikali imeondoa kodi ya ongezeko la thamani kwa mbolea inayozalishwa ndani ya nchi kwa kipindi cha miaka 3. 

Lengo la hatua hii ni kuleta unafuu kwa wakulima na walaji.

#OktobaTunatikiSamia
The Swahili Post (@theswahilipost) 's Twitter Profile Photo

Miradi ya usambazaji maji 8 imetekelezwa katika vijiji 29 wilayani Siha na kuvuka lengo la asilimia 85 ya upatikanaji maji vijiji ifikapo mwaka 2025. #OktobaTunatikiSamia

Miradi ya usambazaji maji 8 imetekelezwa katika vijiji 29 wilayani Siha na kuvuka lengo la asilimia 85 ya upatikanaji maji vijiji ifikapo mwaka 2025.

#OktobaTunatikiSamia
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ Hospitali ya Wilaya ya Chalinze Sasa wananchi hawahitaji tena kwenda Hospitali ya Rufaa ya Mkoa kufuata huduma za X-Ray na upasuaji. Mama amefikisha huduma hizo karibu zaidi na wananchi. #OktobaTunatikiSamia

Rais Samia Mitano Tena (@samiamitanotena) 's Twitter Profile Photo

AHADI YA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI AMEITEKELEZA Kukamilika kwa mradi wa maji Lamadi umeongeza upatikanaji maji kwa wakazi wa Busega kutoka asilimia 23 hadi asilimia 97. #OktobaTunatikiSamia

AHADI YA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI AMEITEKELEZA

Kukamilika kwa mradi wa maji Lamadi umeongeza upatikanaji maji kwa wakazi wa Busega kutoka asilimia 23 hadi asilimia 97.

#OktobaTunatikiSamia
#AtoshaSamia (@atoshasamia) 's Twitter Profile Photo

๐“๐€๐…๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐‡๐€๐‹๐ˆ๐’๐ˆ ๐˜๐€ ๐’๐„๐‘๐ˆ๐Š๐€๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐–๐€๐“๐” #OktobaTunatikiSamia

๐“๐€๐…๐’๐ˆ๐‘๐ˆ ๐‡๐€๐‹๐ˆ๐’๐ˆ ๐˜๐€ ๐’๐„๐‘๐ˆ๐Š๐€๐‹๐ˆ ๐˜๐€ ๐–๐€๐“๐” 

#OktobaTunatikiSamia
Getrude Mollel ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@getrude_mollel) 's Twitter Profile Photo

Sababu 5 kwanini Watanzania hawaiamini CHADEMA 1. Imendwa katika msingi wa kidini na ukabila, kila mtu anatambua kwamba waislamu hawana nafasi CDM. 2. Kwa miaka zaidi ya 30, chama hakiwezi kujiendesha, bado kinategemea wafadhili, wengi kutoka nje, jambo linaibua hofu zaidi juu

Sababu 5 kwanini Watanzania hawaiamini CHADEMA

1. Imendwa katika msingi wa kidini na ukabila, kila mtu anatambua kwamba waislamu hawana nafasi CDM.

2. Kwa miaka zaidi ya 30, chama hakiwezi kujiendesha, bado kinategemea wafadhili, wengi kutoka nje, jambo linaibua hofu zaidi juu
ZestyHaidary (@zestyhaidary) 's Twitter Profile Photo

Barabara za Taboraโ€“Katavi, Mbingaโ€“Mbambabay, na Kabingoโ€“Kasulu zimefunguka kwa lami. Zamani ni kama safari zilikuwa adhabu. Leo ni neema kwa wakulima na abiria. #OktobaTunatikiSamia

Barabara za Taboraโ€“Katavi, Mbingaโ€“Mbambabay, na Kabingoโ€“Kasulu zimefunguka kwa lami. Zamani ni kama safari zilikuwa adhabu. Leo ni neema kwa wakulima na abiria.
#OktobaTunatikiSamia