
ISIYO KONGWE HAIVUSHI.
@yussuf2m
Let peoples decide,not police force.
ID: 889445677
18-10-2012 18:13:39
320 Tweet
314 Followers
476 Following

Makamo Mwenyekiti wa chama ACTWazalendo Juma Duni Haji ameenda kutowa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Nd.Mussa Haji Mussa aliyepigwa risasi nne na askari wa vikosi vya SMZ tarehe 29/10/2020 majira ya saa 3:00 za asubuhi huko nyumbani mwao Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.







Hassan Khamis 🇵🇸 Chama Cha Mapinduzi Suali linakuja, 1) kwnn wang"ang'anie na kuilazimisha ZNZ kubaki ktk muungano? 2) Kuilazimisha ZNZ kubak ktk muungano wakat hamtend haki Kuna umuhim gani? 3)Ni ipi faida itokanayo na muungano kwa upande wa ZNZ? 4) Suala la muungano Ni hiari au lazima? 5) nini khatma ya ZNZ?


Kigogo Media Boniface Jacob Sina budi kukushukuru kigogo maana mchango wako ni mkubwa mno mungu akulinde mkuuu

Hilda Newton Hii ndiyo aian aya wabunge anaowataka Meko maana anapenda watu wapumbavu kuliko yeye ..



ahmed rajab This move by ACT is driven more by the prosaic need to survive as a party. The reference to reconciliation is a craven attempt at giving a highfalutin gloss to what is calculated political move.The idea that CCM will punish its myrmidons for electoral violence is phantasmagoria!





