Yosepher F Komba
@yosepherfkomba
Former Tanzania Member of Parliament,Special Seat Tanga.
ID: 743340518499749888
16-06-2016 07:12:45
652 Tweet
23,23K Followers
232 Following
βKatiba iliyotengenezwa 1962 ambayo ndio inafanana na katiba tuliyonayo inampa Rais madaraka mengi na nguvu ya teuzi kubwaβ β¦. Changamoto za katiba ya sasa ni pamoja na madaraka makubwa aliyonayo Rais, hakuna udhibiti wa madaraka haya β Joseph Oleshangay youtu.be/en857YxpRtw
βMpaka sasa huwezi kupata haki nchini kwa sababu bado tuna mfumo wa kikoloni, tunahitaji #KatibaMpya ikayoweka mambo yote sawa kwenye mfumo wa utawala β β MMAREKANI MWEUSI π°πͺπΊπΈ #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi bit.ly/3UMG4jw
Wananchi wa sasa wameelimika juu ya haki zao za msingi na wameanza kuhoji juu ya suluhisho la kudumu la ugumu wa maisha na wanaona ni utawala mzuri kupitia #KatibaMpya Tutuvengele1 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtu.be/jKKKs3wT5yc
Leo #3Feb ni #maombi yangu msome katiba CHADEMA Tanzania kif. 3.2 #ItikadiMrengoKati na 3.1 #FalsafaPeoplesPower. Pia, mutafakari kif. 3.2.9 juu ya nafasi ya imani na dini katika kujenga #maadili . Kwenye mapambano ya #KatibaMpya tunayoendelea nayo, tuombe pia #NguvuYaMungu Quran 3:26.