Chris29_tz (@ydempire) 's Twitter Profile
Chris29_tz

@ydempire

ID: 1813801207367884800

calendar_today18-07-2024 05:01:43

31 Tweet

45 Followers

493 Following

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha

Chris29_tz (@ydempire) 's Twitter Profile Photo

Allhamdulilah, kumekucha mimi nime amka salama tena wa afya, tumaini langu hata nawe umzima wa afya, ikiwa ni kinyume na hapo bc Allah akupe wewe uzima wa afya, akuepushe na majanga, aipe familia yako uzima na amani, akupe na wewe hitaji la MOYO wako. Amen Good morning

Chris29_tz (@ydempire) 's Twitter Profile Photo

Tulichagua AMANI na tukawapa USHINDI ila taratibu hata hii AMANI tuliyoichagua wanaitaka pia.... GOOD MORNING 🐕‍🦺

Tulichagua AMANI na tukawapa USHINDI  ila taratibu hata hii AMANI tuliyoichagua wanaitaka pia....

GOOD MORNING 🐕‍🦺
Alikiba (@officialalikiba) 's Twitter Profile Photo

“STARTER the EP” Officially Out now Worldwide, Stream on All Music Streaming Platforms, Enjoy!!! Bongo Flava Ndio Fahari Yetu, “STARTER The Ep” iko Hewani Kete ziko saba chaguo ni lako. Enjoy As promised, 20th imefika Let me present to you “Starter The Ep” to you all my

Chris29_tz (@ydempire) 's Twitter Profile Photo

Good Morning? Ahsante Mwenyezi Mungu Kwa kutupa nafasi ya Kuiona siku leo, Baraka zako zikafunike njia zetu za Utafutaji.

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi tu ila wanapigana vita nyingi sana na wanafeli ila hawalalamiki, ukipata shukuru. Mwanangu wewe ni Mwanaume, usimpigie simu zaidi ya mara mbili, usimwombe sana mpaka akachoka, fanya

Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi tu ila wanapigana vita nyingi sana na wanafeli ila hawalalamiki, ukipata shukuru. 

Mwanangu wewe ni Mwanaume, usimpigie simu zaidi ya mara mbili, usimwombe sana mpaka akachoka, fanya
Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

JUMAPILI ya MWISHO ndani ya Mwaka huu 🙌🏽 👉🏽 Unaachwa na Mpenzi kisa hauna hela, ulivyompuuzi badala ya kutafuta kwanza hela ili Mpenzi afatie, wewe unaamua kumtafuta Mpenzi mwingine....Matokeo yake unaachwa tena 😅 Mwanetu hiyo kitu aliikataa, aliamua kuwekeza nguvu zote katika

JUMAPILI ya MWISHO ndani ya Mwaka huu 🙌🏽

👉🏽 Unaachwa na Mpenzi kisa hauna hela, ulivyompuuzi badala ya kutafuta kwanza hela ili Mpenzi afatie, wewe unaamua kumtafuta Mpenzi mwingine....Matokeo yake unaachwa tena 😅

Mwanetu hiyo kitu aliikataa, aliamua kuwekeza nguvu zote katika
Chris29_tz (@ydempire) 's Twitter Profile Photo

"Mwisho wa kuogopa ndio Maisha yanapoanza.......Giza hutoweka siku Mpya inapoanza, Try....Inuka hapo ulipo Anza..." Last King 🐐

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

Mwanangu kuna muda Mwanamke atakupostia location kali Masaki, atakupostia chakula kizuri anachokula hotel moja Mbezi Beach, atakupostia tiketi ya Ndege na vacation yake Dubai, huo mtego usiingie ili ukidhi kiwango na hadhi yake, wengi wameupata Umaskini na kupoteza dira ili