Michael Mwangasa (@washenmichael) 's Twitter Profile
Michael Mwangasa

@washenmichael

Advocate

ID: 1242311305

calendar_today04-03-2013 21:56:45

664 Tweet

1,1K Followers

164 Following

Robert Amsterdam (@robertamsterdam) 's Twitter Profile Photo

I would like to say publicly that representing Tundu Lissu, a far brighter lawyer than me is one of the highlights of my career. Shot over a dozen times and campaigning with a verve and strength that defies imagination. Gd bless him and Tanzania!

Jenerali Ulimwengu (@raiyajenerali) 's Twitter Profile Photo

Hayati prof. Seithy Chachage alituambia neno zito. Kimetokea nchini mwetu kitu alichokiita COLLECTIVE IMBECILIZATION . Hii ni ile hali ya watu wengi kwa mkumbo wa mamilioni kwa mamilioni kupumbazwa na kufubazwa akili na kupoteza uwezo wa kutumia bongo zetu . Angalia, utaona!

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIYO MSINGI WA SULUHISHO LA MAUAJI YA HALAIKI YALIYOFANYIKA DHIDI YA WATANGANYIKA. Tatizo kubwa ni kama vile baada ya kuteka,kuwapiga,kuwauwa,kuficha maiti za wapendwa wetu sasa tunajaribu kupangiana namna ya kusikitika na kuomboleza Msiba.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kwa kifupi kama unaongea Amani Amani Amani huku husemi haki, unaongea Amani huku unakanyaga haki za watu huo ni unafiki. Asante sana baba Ruwa'ichi.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Rais ambae unajifanya umechaguliwa na unapendwa na wananchi unatekwa na Taifa jingine.. Alafu hao wananchi uliokua unadai wanakupenda wanatoka kwa mamilioni kushangilia wewe kutekwa… Ulinzi wa uhakika wa kiongozi ni ridhaa ya wananchi na kukubalika kwa umma wala sio bunduki.

Pete (@splendid_pete) 's Twitter Profile Photo

J Akers This is not complicated. Obstruction is not “you annoyed a federal agent.” It is a specific crime. Standing there, talking, filming, or being in the way is not obstruction under federal law. An agent does not get to step in front of a vehicle and then claim deadly danger

<a href="/JAEngProf/">J Akers</a> This is not complicated.

Obstruction is not “you annoyed a federal agent.” It is a specific crime. Standing there, talking, filming, or being in the way is not obstruction under federal law.

An agent does not get to step in front of a vehicle and then claim deadly danger
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Bros, Mdude Nyagali. Deus Soka. Shadrack Chaula. Humphrey Polepole. Mzee Ali Kibao. Amani Manengelo. Frank Mbise. Dioniz Kipanya. Daniel Chonchorio. Jacob Mlay. You aint forgotten, comrades. Your liberty is paramount. We cry out for Justice. We need accountability.

Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi anaongea kwa nguvu sana. Tumeboresha sekta ya elimu - ila mtoto wake hasomi kwenye hizo shule. Tumeboresha huduma za afya - Ila mzalendo mwenzetu mbona ww na familia yako hamji kutibiwa na sisi? Zamani waliofeli ndiyo walikimbilia private schools.

HABARIMPYA TV (@habarimpyatv) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa terehe 20. January 1968 kwa sasa ametimiza miaka 58, Lissu anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ndani ya Gereza la Ukonga kwa kesi ya Uhaini Ni mwanasiasa wa Upinzani aliyejijengea heshima kubwa kutokana na misimamo yake mikali

Mfanyakazi Online Media (@mfanyakazinews) 's Twitter Profile Photo

"Hiki (CHADEMA) ndiyo chama kikuu cha nchi hii, siyo chama kikuu cha upinzani ni chama kikuu cha nchi hii. Ndiyo chama pekee namna ya kukidhibiti ni kutumia jeshi na Polisi lakini kwenye hoja na ushindani hakuna chama kinaweza kushindana na chama chetu" John Heche

"Hiki (CHADEMA) ndiyo chama kikuu cha nchi hii,  siyo chama kikuu cha upinzani ni chama kikuu cha nchi hii. Ndiyo chama pekee namna ya kukidhibiti ni kutumia jeshi na Polisi lakini kwenye hoja na ushindani hakuna chama kinaweza kushindana na chama chetu" John Heche
Mpale Mpoki (@mpalempoki) 's Twitter Profile Photo

Wafugaji wana msemo " NG'OMBE HANENEPESHWI MNADANI " In a similar manner kesi haijengwi wakati usikilizaji wa kesi unaendelea mahakamani. Kesi hujengwa wakati wa upelelezi kwenye ofisi ya wapelelezaji

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Usidanganyike na wingi wa maombi,sala na kufunga. Kipimo cha kweli cha imani si maneno yako mbele za Mungu, bali matendo yako kwa watu. Unawezaje kumpenda Mungu usiyemuona, huku ukimchukia ndugu na jamii yako? Upendo wa kweli huonekana katika huruma, heshima na matendo mema,

Usidanganyike na wingi wa maombi,sala na kufunga.
Kipimo cha kweli cha imani si maneno yako mbele za Mungu, bali matendo yako kwa watu. Unawezaje kumpenda Mungu usiyemuona, huku ukimchukia ndugu na jamii yako?  Upendo wa kweli huonekana katika huruma, heshima na matendo mema,
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Pasaka si simulizi la ushindi mwepesi, bali ni fumbo la mateso yanayozalisha ukombozi. Ukweli hauuawi na kifungo, wala haki haifungwi na minyororo ya muda. Katika ukimya wa dhiki, dhamiri hujifunua. Katika maumivu, historia huanza kuandika upya maana ya uhuru. Moyo mkuu kwako na

Pasaka si simulizi la ushindi mwepesi, bali ni fumbo la mateso yanayozalisha ukombozi. Ukweli hauuawi na kifungo, wala haki haifungwi na minyororo ya muda.
Katika ukimya wa dhiki, dhamiri hujifunua. Katika maumivu, historia huanza kuandika upya maana ya uhuru. Moyo mkuu kwako na
Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

Hivi ndivyo Mhe. Tundu Antiphas Lissu alivyokamatwa na Jeshi la Polisi tarehe 09 Aprili 2025 katika Wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma akiendelea na Oparesheni #NoReformsNoElection. Mhe. Lissu leo ametimiza siku 365 (mwaka mmoja) tangu akamatwe.

Rugemeleza Nshala (@rugemeleza) 's Twitter Profile Photo

Huo ndiyo ukweli halisi. Bei ya mafuta kwa lita moja nchini Marekani ipo chini ya hapa Tanzania kwa zaidi ya shilingi 1020. Hiyo ni mbali na ukweli kuwa sisi ni Taifa masikini kweli kweli. Hivyo Serikali hii haramu inawakamua na kuwafukarisha Watanzania kupitia kodi lukuki kwenye