Vyogo Master (@vyogo__master) 's Twitter Profile
Vyogo Master

@vyogo__master

Vyogo~master
Ayubu 23:10 Lakini yeye aijua njia niendeayo; Akisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.📌📌📌

ID: 1538950510518190081

calendar_today20-06-2022 18:23:05

1,1K Tweet

499 Followers

720 Following

Vyogo Master (@vyogo__master) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 1:1 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.

King (@gallamenna) 's Twitter Profile Photo

Unatafuta Canva Pro BUREE? 🎨 Nina tricks za kukusaidia upate Canva Pro bila malipo. ✅ Repost ✅ Comment 'PRO' Nikutumie sasa

Unatafuta Canva Pro BUREE? 🎨

Nina tricks za kukusaidia upate Canva Pro bila malipo.

✅ Repost
✅ Comment 'PRO'

Nikutumie sasa
King (@gallamenna) 's Twitter Profile Photo

Nmepata AI ambayo unaipa Mada inakutengenezea power point for free. Inafanya Kazi Kwa haraka sana Na unakuwa na uwezo wa kuedit picha na maandishi. Repost Comment 'PPT' Nikutumie DM

Nmepata AI ambayo unaipa Mada inakutengenezea power point for free.

Inafanya Kazi Kwa haraka sana

Na unakuwa na uwezo wa kuedit picha na maandishi.

Repost

Comment 'PPT' Nikutumie DM
Van Mersey (@van_mersey) 's Twitter Profile Photo

SEHEMU YA PILI 🗽📺 BAADHI YA MAENEO MAARUFU KATIKA BIBLIA & QURAN NA YALIVYO HII LEO 01. Sodoma na Gomorrah Picha ya kwanza ni nguzo ya chumvi yaani mke wa Ruthu iliyipo katika bonde la Jordan na mabaki mengine yapo bahari nyekundu miji husika Sodoma na Gomora ni majiji

SEHEMU YA PILI 🗽📺

BAADHI YA MAENEO MAARUFU KATIKA BIBLIA & QURAN NA YALIVYO HII LEO 

01. Sodoma na Gomorrah 

Picha ya kwanza ni nguzo ya chumvi yaani mke wa Ruthu iliyipo katika bonde la Jordan na mabaki mengine yapo bahari nyekundu miji husika

Sodoma na Gomora ni majiji
Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Kila mwaka unatarehe na mwezi wa kifo chako unafanikiwa kupita, Ila kuna mwaka hauta pita, Mimi na wewe hatujui ni lini Tumuombe Mungu Atupe Mwisho Mwema.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Fungua moyo na akili yako kisha ujifunze kadri uwezavyo toka kwa wale wanaojua zaidi yako, walio bora zaidi yako na waliofanikiwa zaidi yako. Ila usiruhusu uendeshwe na tamaa ya kupata mafanikio ya haraka. Vitu vizuri huchukua muda.

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

ProsperNow. Usimwambie Namna EX Wako Alikutenda Ukifanya Hivyo Utamfanya Afiche Makucha Yake Lakini Usipomwambia Atakuonyesha TABIA Yake Halisi Hivyo Akikuuliza Kuhusu EX Wako Mwambie Mliishi Vizuri Lakini Mkakubaliana Kuachana Kwasababu Nzuri Tu Hii Itamvuruga Sana Akili Atakuheshimu Sana

Vyogo Master (@vyogo__master) 's Twitter Profile Photo

Ayubu 14:1-2 Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.

Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Maji💦 -> Kwa Ajili ya Figo! Mayai 🥚-> Kwa Ajili ya Ubongo 🧠! Carrots🥕 -> Kwa Ajili ya Macho! Nanasi 🍍-> Kwa Ajili ya Koo! Cabbage 🥬 -> Kwa Ajili ya Utumbo! Tango 🥒 -> Kwa Ajili ya Ngozi! Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu! Parachichi & Nyanya 🥑 -> Kwa Ajili

Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Kama mwanamke anamaliza period leo, basi siku zake za hatari zitaanza takriban siku ya 9 hadi ya 18 tangu leo (siku ya kwanza baada ya period). Mfano rahisi: Kama leo ni tarehe 2 na ndiyo amemaliza period, basi: Siku ya 9 itakuwa tarehe 10 Siku ya 18 itakuwa tarehe 19 →

Vyogo Master (@vyogo__master) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu