
Neema Victor Chisanga
@victor_neema
Mgombea Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)-2020
ID: 1298639908907765760
https://instagram.com/mombayetu?igshid=crxakenzn6ue 26-08-2020 15:15:14
534 Tweet
14,14K Followers
508 Following




Happy birthday Mh. Waziri Ummy Mwalimu live long. Kwenye mwaka mwingine unaouendea basi hebu jaribu kutembelea jimbo la Momba ujionee hali ilivyo ya kiafya kwa watanzania waishio jimbo ambalo 90% ni vijiji. Nakusihi Mh. Hakika utafanyika baraka.




Neema Victor Chisanga Idrisa Kassim Rubibi nimezaliwa mwaka mmoja na chadema.

Neema Victor Chisanga Kutaka mabadiliko.. Demokrasia haitakuwa na maana nchinu kama tukiwa ruled na same party always .. Na chadema ndio wenye sera zinazohamasisha mabadiliko.

Neema Victor Chisanga Ni chama ambacho kipo mioyo mwa watu,sera zake.

Neema Victor Chisanga Sera zao ni 🔥

Neema Victor Chisanga Na the bad thing ni sisi wananchi tulikaa kimya.... Na ndio huo huo muendelezo wa kutudharau wananchi Hadi leo mafuta ya shida ila ni one is addressing this issue






