UpdatesOfACT-Wazalendo
@updatesofact
Ukurasa wa Taarifa za Chama Cha ACT Wazalendo
ID: 1430168182363394065
24-08-2021 14:01:00
17,17K Tweet
1,1K Followers
79 Following
VIDEO: Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya ACT Wazalendo ACTWazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Fatma Abdulhabib Fereji, amesema chama hicho kimejipanga kwa dhati kushika dola. Akizungumza, Agosti 20, 2025, mbele ya wanachama
📍Babati Manyara Leo Agosti 23, 2025 Mgombea wa Urais Tanzania kwa tiketi ya ACTWazalendo, Ndugu Luhaga Mpina amefika Mkoa wa Manyara kuomba udhamini wa wapiga kura ili kukidhi matakwa ya kisheria kabla ya kuteuliwa rasmi na INEC kuwa Mgombea Urais wa Tanzania. Oktoba
📍Babati Manyara Leo Mgombea wa Urais Tanzania kwa tiketi ya ACTWazalendo, Ndg Luhaga Mpina amefika Mkoa wa Manyara kuomba udhamini wa wapiga kura ili kukidhi matakwa ya kisheria kabla ya kuteuliwa rasmi na INEC kuwa Mgombea Urais wa Tanzania. Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
Katika kutimiza takwa la kisheria Mgombea Mwenza, Fatma Ferej na Mgombea nafasi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu, Luhaga Joelson Mpina walifika Mahakama Kuu Dar Es Salaam kwa ajili ya kula kiapo mbele ya Jaji. Zoezi hilo limetekelezeka kikamilifu. Oktoba #LindaKura
Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ndugu, Fatma Ferej atakuwepo kwenye siku ya uzinduzi wa Kampeni za ACT Wazalendo ambapo kitaifa zitafanyika Jijini Mwanza. Uzinduzi huo utaongozwa na Mgombea Urais Ndugu, Luhaga Joelson Mpina.
Chama cha ACTWazalendo kitazindua Kampeni za Urais Jijini #Mwanza ambapo kwa mara ya kwanza Ndugu Mpina, akiambatana na Mgombea Mwenza, Fatma Ferej, atanadi Ilani ya ACT na vipaumbele vyake. Mahala: Viwanja vya Furahisha Siku: Agosti 30, 2025 Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi
Siku ya Jumatatu 01 Septemba, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACTWazalendo atazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. Mkutano na Waandishi utafanyika Makao Makuu, Magomeni Dar Es Salaam.
Salamu za rambirambi kutoka kwa KC Dorothy Semu kufuatia kifo cha Ndugu Seleman Bungara kilichotokea leo Machi 30, 2026. Mungu amjalie pumziko la milele.