Ummy Kitwana (@umykitwana) 's Twitter Profile
Ummy Kitwana

@umykitwana

from tanga follow me instagram @Ummykitwana

ID: 628515818

calendar_today06-07-2012 16:24:35

4,4K Tweet

10,10K Followers

286 Following

Ummy Kitwana (@umykitwana) 's Twitter Profile Photo

Aman kwa Joseph L. Haule @ShettaTz @Snura @MsagaSumu kwa kumsaport #JumaKassimNature kwenye Show yake๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ nilale ss nimefunguka sana leo

Jakaya Kikwete (@jmkikwete) 's Twitter Profile Photo

Naipenda sana nchi yangu, nawapenda sana wananchi, nashukuru kupata fursa kuwatumikia, nitaendelea kuwapenda mpaka Mungu atakaponiita kwake.

Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Issue ya kuanza campaign mapema 'may be' penalized now. Politics at play. Reading Dr. Makukililo's piece on today's nominations.

Ummy Kitwana (@umykitwana) 's Twitter Profile Photo

By @jmakamba Sitaunda Serikali ya WAPORAJI na WABINAFSI, Nitaunda Serikali yenye Utu na Inayowasikiliza na Kuwajali WATU @jmakamba

Ummy Kitwana (@umykitwana) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kitu nimefrahi duniani kama LOWASA kukatwa mapema sana yani hata top 5 hakuingia kupewa matumaini hicho kitu kimenifrahisha sana aise

Ummy Kitwana (@umykitwana) 's Twitter Profile Photo

Mastar kila M2 atapost R.I.P banza stone alivyokua anateseka walikua na uwezo wa kuungana na kumsaidia kweli bongo ukifa ndo unathaminika

January Makamba (@jmakamba) 's Twitter Profile Photo

Kama umekuwa Waziri na Waziri Mkuu kwa miaka 30 halafu unasema miaka 50 iliyopita hakuna kilichofanyika, manake nawe hukufanya kazi. Hufai.

January Makamba (@jmakamba) 's Twitter Profile Photo

Alipokuwa na cheo kikuu, mfumo ulikuwa safi. Alipokuwa anagombea ndani ya CCM, mfumo ulikuwa safi. Jina lilipokatwa, mfumo wa nchi sio safi.