pastory Ruzangi (@therealpastory) 's Twitter Profile
pastory Ruzangi

@therealpastory

C.E.O at Pastory Mobile Spare Parts.©️

ID: 986716306278961152

calendar_today18-04-2018 21:21:14

1,1K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Dominika ya leo kupitia simulizi la Mtakatifu Thomaso, Tunajifunza umuhimu wa UMOJA NA USHIRIKIANO. Baada ya kifo cha Yesu, Tomaso alifanya kosa la kujitenga na mitume wengine. Alitafuta upweke badala ya ushirika katika wakati wake wa taabu. Hakukaa na wenzake. Pamoja na kwamba

Dominika ya leo kupitia simulizi la Mtakatifu Thomaso, Tunajifunza umuhimu wa UMOJA NA USHIRIKIANO.

Baada ya kifo cha Yesu, Tomaso alifanya kosa la kujitenga na mitume wengine. Alitafuta upweke badala ya ushirika katika wakati wake wa taabu. Hakukaa na wenzake.

Pamoja na kwamba
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Ukiona mtu anafanya biashara ile ile, for over 5 years na hajafirisika nchi hii, heshimu sana huyo mwamba, mishale anaruka na kuchapana nayo kila siku sio ya kitoto 🙌🙌

pastory Ruzangi (@therealpastory) 's Twitter Profile Photo

Miaka kadhaa nyuma wakati nafikiria kuwa na familia nilisema nikioa nitatulia na mke mmoja mpaka mauti...itoshe kusema sasa nimetulia siwazi tena 😂

pastory Ruzangi (@therealpastory) 's Twitter Profile Photo

Kupanda ndege ni moja ya life achievement kwetu Waafrika haswa wa Tanzania...😂😂...nitaiweka vzr hii kesho nikiamka salama

pastory Ruzangi (@therealpastory) 's Twitter Profile Photo

Baadhi yetu ndoto zetu ni kufanya maisha majuu...deep sana unawaza... unafikaje...unafikia wapi....utafanya nini na ni ugenini huna connection...

pastory Ruzangi (@therealpastory) 's Twitter Profile Photo

Dua na ibada zetu zinasikilizwa kwa ukaribu sababu zimelenga kuboresha kesho yetu na ya wanaotutegemea wala si kuziba ridhiki kwa wenzetu. Goodmorning💥

pastory Ruzangi (@therealpastory) 's Twitter Profile Photo

Mchezo wa maisha upo hivi, ikiwa utashinda utaveshwa taji, ikiwa utashindwa basi utalipia gharama na gharama si lazima pesa bali hata maisha yako