Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile
Women and Technology Tanzania

@techwomentz

A platform by @thelaunchpadtz @lpdigitaltz to convene, spotlight women who build, use and promote technology in Tanzania

ID: 1582051002349387776

linkhttps://whatsapp.com/channel/0029Va9YudrHFxOv1OvUmR3u calendar_today17-10-2022 16:49:17

2,2K Tweet

857 Followers

90 Following

LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

🚨Ukatili wa mtandaoni Unaumiza – Watu Wazima na Watoto🚨 Kila siku, watu wa rika zote wanakumbwa na matusi, vitisho, kusambaziwa picha au taarifa binafsi bila ridhaa, na udhalilishwaji kupitia mtandao. Ukatili huu unaathiri afya ya akili, usalama, na hata ndoto za mtu. ❌

🚨Ukatili wa mtandaoni Unaumiza – Watu Wazima na Watoto🚨

Kila siku, watu wa rika zote wanakumbwa na matusi, vitisho, kusambaziwa picha au taarifa binafsi bila ridhaa, na udhalilishwaji kupitia mtandao. Ukatili huu unaathiri afya ya akili, usalama, na hata ndoto za mtu.

LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Honored to be part of Pollicy ’s transformative 3-day workshop in Tanzania under the Colmena Fund #VOTEWomen project — tackling online violence against women in politics. We’re building watchdog networks for women politicians & WHRDs, offering: ✨ Safe spaces ✨ Psychosocial

Honored to be part of Pollicy ’s transformative 3-day workshop in Tanzania under the Colmena Fund #VOTEWomen project — tackling online violence against women in politics.

We’re building watchdog networks for women politicians & WHRDs, offering:
✨ Safe spaces
✨ Psychosocial
LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Masoko ya kidijitali yanafungua milango mipya ya wateja kuanzia mitaa ya jirani hadi masoko ya kimataifa. Ni njia rahisi, nafuu na yenye ufanisi kuongeza mauzo na kukuza biashara yako. #DigitalTanzania #MitandaoNaSisi #DigitalLiteracy #DigitalMarkering #SkillingTanzania

LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Programu yetu ya Digital Skills Club (#DSC) imekuwa mwanga mpya wa ubunifu na maarifa mashuleni! Lengo ni kupanua zaidi safari hii ya kujenga kizazi cha kidijitali, tukiwafikia wanafunzi wengi zaidi ndani na nje ya jiji. Vijana wapewe nafasi ya kuota, kujifunza na kung’ara!

Programu yetu ya Digital Skills Club (#DSC) imekuwa mwanga mpya wa ubunifu na maarifa mashuleni!  Lengo ni kupanua zaidi safari hii ya kujenga kizazi cha kidijitali, tukiwafikia wanafunzi wengi zaidi ndani na nje ya jiji.

Vijana wapewe nafasi ya kuota, kujifunza na kung’ara!
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Nyuso zenye umakini na macho yaliyolenga mbele – picha hizi zinatuonyesha vijana wanawake wakionesha utayari katika kujifunza wakati wa #TechWomenConference2024. Ni taswira inayoelezea safari ya mabadiliko: wanawake wa Tanzania wakisimama kama viongozi wa kidijitali, wabunifu

Nyuso zenye umakini na macho yaliyolenga mbele – picha hizi zinatuonyesha vijana wanawake wakionesha utayari katika kujifunza wakati wa #TechWomenConference2024.

Ni taswira inayoelezea safari ya mabadiliko: wanawake wa Tanzania wakisimama kama viongozi wa kidijitali, wabunifu
LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Dunia ya sasa haingoji mtu yeyote – teknolojia inakimbia kwa kasi. Ukiwa na ujuzi wa kidijitali leo, unajijengea nafasi ya kesho. . . Usisubiri kufundishwa, tafuta kujifunza kila siku, kwa sababu asiye na ujuzi wa kidijitali katika karne hii ni sawa na asiyejua kusoma na

Dunia ya sasa haingoji mtu yeyote – teknolojia inakimbia kwa kasi. Ukiwa na ujuzi wa kidijitali leo, unajijengea nafasi ya kesho.

Usisubiri kufundishwa, tafuta kujifunza kila siku, kwa sababu asiye na ujuzi wa kidijitali katika karne hii ni sawa na asiyejua kusoma na
LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Mitandao ya kijamii kama Instagram, WhatsApp, Discord na hata majukwaa ya michezo ya mtandaoni imekuwa sehemu ambayo watoto wetu hukutana na marafiki wapya. Lakini pia, imekuwa sehemu hatarishi ambapo walaghai/wawindaji (Online Predators) wa watoto huwatumia ujanja na mbinu za

Mitandao ya kijamii kama Instagram, WhatsApp, Discord na hata majukwaa ya michezo ya mtandaoni imekuwa sehemu ambayo watoto wetu hukutana na marafiki wapya. Lakini pia, imekuwa sehemu hatarishi ambapo walaghai/wawindaji (Online Predators) wa watoto huwatumia ujanja na mbinu za
LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Chukua hatua leo — linda watoto dhidi ya ukatili mtandaoni. 🛡️ Elimisha. 🌐 Linda. 🤝 Simama nao. 🛡️ Elimisha watoto wako kuhusu hatari mtandaoni, 🌐 jenga mawasiliano ya wazi nyumbani, 🤝 toa msaada kwa wanaoathirika, na simama kidete dhidi ya wahalifu wa kidijitali.

dLab Tanzania (@dlabtz) 's Twitter Profile Photo

Our Executive Director Mahadia Tunga (PhD) PhD, proudly represented us at the Data for Health in Africa Meeting & the 5th Data Science Institute -Africa Consortium Meeting, held at the University of Ghana, Accra . Her engagement reflects our dedication to advancing data science for health in Africa

Our Executive Director Mahadia Tunga (PhD) PhD, proudly represented us at the Data for Health in Africa Meeting & the 5th Data Science Institute -Africa Consortium Meeting, held at the University of Ghana, Accra .
Her engagement reflects our dedication to advancing data science for health in Africa
LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

At the Women in AI Meet-up, an important event co-organized by GIZ-Tanzania , The LaunchPad we were honored to serve as facilitators and moderators. This vital platform brought together women and people with disabilities to engage in crucial conversations about the future of

At the Women in AI Meet-up, an important event co-organized by GIZ-Tanzania , The LaunchPad we were honored to serve as facilitators and moderators. This vital platform brought together women and people with disabilities to engage in crucial conversations about the future of
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

When we talk about gender-responsive tech policies, we’re talking about a world where daughters, Sisters, and mothers can all access the digital skills they need, feel safe from online harm, and create their own businesses and ideas. It’s about building a digital future that

When we talk about gender-responsive tech policies, we’re talking about a world where daughters, Sisters, and mothers can all access the digital skills they need, feel safe from online harm, and create their own businesses and ideas.

It’s about building a digital future that
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Uzuri wa mwanamke katika teknolojia unaangaza zaidi ya muonekano wa nje – unajidhihirisha katika hekima yake ya kubuni, ujasiri wa kuongoza, na uthubutu wa kuvunja vikwazo. Tunaendelea kuthibitisha kuwa uzuri wa kweli ni uwezo wa kubadilisha dunia kupitia ubunifu na

Uzuri wa mwanamke  katika teknolojia unaangaza zaidi ya muonekano wa nje – unajidhihirisha katika hekima yake ya kubuni, ujasiri wa kuongoza, na uthubutu wa kuvunja vikwazo.

Tunaendelea kuthibitisha kuwa uzuri wa kweli ni uwezo wa kubadilisha dunia kupitia ubunifu na
Carol Ndosi (@carolndosi) 's Twitter Profile Photo

Gearing up for another #WanawakeNaDijitali edition 💪🏾💪🏾 Target - 300 Tanzanian Women Entrepreneurs 💪🏾💪🏾

LP Digital (@lpdigitaltz) 's Twitter Profile Photo

Muda wa #CODING4KIDS ! Wanafunzi wanaotarajia kuhitimu elimu ya shule ya Msingi 2025 Tunakukumbusha teknolojia, ubunifu na burudani vinaenda sambamba Mpe mtoto wako nafasi ya kuwa Shujaa wa Kidijitali Scan QR code kwa maelezo na kujisajili #SkillingTanzania #DigitalTanzania

Muda wa #CODING4KIDS !

Wanafunzi wanaotarajia kuhitimu elimu ya shule ya Msingi 2025

Tunakukumbusha teknolojia, ubunifu na burudani  vinaenda sambamba

Mpe mtoto wako nafasi ya kuwa Shujaa wa Kidijitali

Scan QR code kwa maelezo na kujisajili
#SkillingTanzania #DigitalTanzania
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Many women in tech share this story—starting out unsure, writing that very first line of code, and slowly finding their confidence. The truth is, it’s never an easy path, but a process of learning, failing, and growing. To every young woman stepping into tech: keep going,

COSTECH (@costechtanzania) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI YAIAGIZA COSTECH KUENDELEZA BUNIFU ZA VIJANA ILI KUANZISHA MAKAMPUNI NA KUKUZA AJIRA Serikali imeiagiza Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuhakikisha inaendeleza bunifu za wabunifu ili ziweze kuingia sokoni kwa kuanzisha kampuni, hivyo kutengeneza ajira

SERIKALI YAIAGIZA COSTECH KUENDELEZA BUNIFU ZA VIJANA ILI KUANZISHA MAKAMPUNI NA KUKUZA AJIRA

Serikali imeiagiza Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuhakikisha inaendeleza bunifu za wabunifu ili ziweze kuingia sokoni kwa kuanzisha kampuni, hivyo kutengeneza ajira
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

The world runs on data and those who can read it, run the world. From finance to health to tech, opportunities in data analysis are multiplying fast. Step into the future, skill up, and claim your space in tech leadership. Source: U.S. Bureau of Labor Statistics #WomenInTech

The world runs on data and those who can read it, run the world.

From finance to health to tech, opportunities in data analysis are multiplying fast.

Step into the future, skill up, and claim your space in tech leadership.

Source: U.S. Bureau of Labor Statistics
#WomenInTech
Women and Technology Tanzania (@techwomentz) 's Twitter Profile Photo

Today we’re diving into the key to career growth. “NETWORKING” In the digital world, your network is your net worth, but it’s not just about collecting contacts….it’s about cultivating genuine connections. As Fatma Songoro, Head of Technology Law at Victory Attorneys &

Today we’re diving into the key to career growth.

“NETWORKING”

In the digital world, your network is your net worth, but it’s not just about collecting contacts….it’s about cultivating genuine connections.

As Fatma Songoro, Head of Technology Law at Victory Attorneys &