ELIAZARY YOTHAM (@sir_yotham) 's Twitter Profile
ELIAZARY YOTHAM

@sir_yotham

MNMA's allumin /counsellor/Mc & advocate for students.

ID: 1192437816724279297

calendar_today07-11-2019 13:45:22

3,3K Tweet

1,1K Followers

2,2K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi pakuche. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiriamali, kilimo, midahalo. Hilo ni TAIFA lipo kaburini kitambo.

Olaigwanani-Olengurumwa, Adv (@olengurumwao) 's Twitter Profile Photo

Hili swala ni uchokozi mkubwa kwa haki, dini na sisi wote wakatoliki na watanzania wapenda haki kwa ujumla - Ugua Pole sana Padri Kitima - Nasubiria mwongozo wa Maaskofu - Hichi kikundi cha kugusa gusa ipo siku mtagusa mahali na mtakuwa mmewasha moto usiozimika - Tambueni kuwa

Hili swala ni uchokozi mkubwa kwa haki, dini na sisi wote wakatoliki na watanzania wapenda haki kwa ujumla - Ugua Pole sana Padri Kitima - Nasubiria mwongozo wa Maaskofu - Hichi kikundi cha kugusa gusa ipo siku mtagusa mahali na mtakuwa mmewasha moto usiozimika - Tambueni kuwa
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Pesa chafu itawatokea puani. Hauwezi kujibanza ktk upinzani huku unafanya kazi ya dola. Asili inakataa. Matokeo yake mnatengeza tension kuforce umuhimu. Tunasubiri mtimie tuwapepete cumulatively, hususan anayewatuma. Na iwe fundisho kwa wajasiriamali na malaya wa kisiasa.

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Popote ulipo kama wewe ni mpenda haki onyesha ishara ya upendo kwa Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu kwa ku like hapa.❤️✌️

Popote ulipo kama wewe ni mpenda haki onyesha ishara ya upendo kwa Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu kwa ku like hapa.❤️✌️
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Tumpe maua yake 💐 Show appreciation to this Commander of Change 🔥J O H N H E C H E🔥 Unwavering and uncompromised Freedom fighter! Jembe la Kanda Maalum ameshikilia msimamo wa #NoReformsNoElection CCM wamepanic hasa familia ya Kizimkazi wamebaki kuhaha ila Heche hacheki na

Tumpe maua yake 💐
Show appreciation to this Commander of Change 

🔥J O H N  H E C H E🔥
Unwavering and uncompromised Freedom fighter!

Jembe la Kanda Maalum ameshikilia msimamo wa #NoReformsNoElection 
CCM wamepanic hasa familia ya Kizimkazi wamebaki kuhaha ila Heche hacheki na
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Imechukua siku 2 kuchunguza kifo cha raia akiwa polisi KE — ripoti iko public. Iko wapi ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao? Yuko wapi Mdude? Wako wapi Soka na wenzake? Yuko wapi Chaula? Yuko wapi Chonchorio? Yuko wapi Kipanya? Tusitaniane - #NoReformsNoElection

TICHA MANDEVU13 (@tichamandevu) 's Twitter Profile Photo

Updates Mpaka sasa JAPHET MATARRA amechangiwa TZS. 742,000, tumefikia nusu ya lengo la kupata TZS. 1.5M ili kuwezesha MATARRA afanyiwe matibabu ya Upasuaji kesho.!!! WASIOJULIKANA wamemvunja taya mara 2, Anapitia maumivu makali sana..!! Halopesa: 0627422184 Jina: SAMWELI MATARA.

Martine Abdul Kandore (@martinabdul14) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wenzangu nawakaribisha kujiunga na mtandao wa wanafunzi wa CHADEMA (CHASO) ili tuweze kupambania mabadiliko kwenye nchi yetu kwa pamoja kama vijana wenye fikra tunduizi na maono ya kesho yetu. Andika majina yako na jina la chuo chako tuma kwenda namba hii 0620381647

Wanafunzi wenzangu nawakaribisha kujiunga na mtandao wa wanafunzi wa CHADEMA (CHASO) ili tuweze kupambania mabadiliko kwenye nchi yetu kwa pamoja kama vijana wenye fikra tunduizi na maono ya kesho yetu.

Andika majina yako na jina la chuo chako tuma kwenda namba hii 0620381647
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Happy birthday Msomi Jebra Kambole wewe ni moja kati ya watu wema sana kwenye hii Dunia. Siku ya leo nakuombea Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka na amani. Furahia siku yako.🥂

Happy birthday Msomi <a href="/Advocate_Jebra/">Jebra Kambole</a>   wewe ni moja kati ya watu wema sana kwenye hii Dunia.

Siku ya leo nakuombea Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka na amani.

Furahia siku yako.🥂
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

"Kushinda uchaguzi ni jambo jepesi, lakini kutawala nchi ambayo imemegukameguka kutokana na makovu na majeraha ya uchaguzi ni kazi sana." - Joe Gwajima, akipigilia msumari 'No Reforms, No Election.'👏👏

TricyLove🦁 (@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Wadau ukiiona hii post fanya kuwatag hawa 🚨 Please help! Tag Elon Musk Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth. #UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech

Wadau ukiiona hii post fanya kuwatag hawa 

🚨 Please help!
Tag <a href="/elonmusk/">Elon Musk</a> <a href="/Support/">Support</a> to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender &amp; victim of political persecution. Silencing him = silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech