Eng.Simon J.Msenga (@simonmsenga) 's Twitter Profile
Eng.Simon J.Msenga

@simonmsenga

Wireless-RAN Product Engineer @Huawei| Telecommunication Industry|UDSM Alumni|Leader|Digital Strategist|Social Activist| Runner|Tanzanian

ID: 3313041148

linkhttps://medium.com/@simonjmsenga calendar_today08-06-2015 10:07:06

154,154K Tweet

32,32K Followers

15,15K Following

Azam TV (@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa ameielekeza Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), kuhakikisha wanatekeleza kwa ukamilifu mradi wa ujenzi wa minara 758 ndani ya miezi minne kuanzia sasa. Waziri Silaa amesema hayo wakati wa hafla ya

Eng.Simon J.Msenga (@simonmsenga) 's Twitter Profile Photo

Honored to be selected as 2025/36 Huawei 's Local Employee Ambassador for our East Africa Multi-Country Office in Tanzania! Excited to promote Huawei’s brand, values & culture while empowering colleagues for growth & success. Grateful for this opportunity! #Huawei #Leadership

Honored to be selected as 2025/36 <a href="/Huawei/">Huawei</a> 's Local Employee Ambassador for our East Africa Multi-Country Office in Tanzania!

Excited to promote Huawei’s brand, values &amp; culture while empowering colleagues for growth &amp; success. Grateful for this opportunity! #Huawei #Leadership
Eng.Simon J.Msenga (@simonmsenga) 's Twitter Profile Photo

Naona ndugu zangu baadhi wa CDM bado wapo kwenye DENIAL STATE. Hawajakubali TAL ni kiongozi wao na zama zimebadilika. Good evening X (twitter) family.

Vanessa A. Mkagilage (@vannessermalick) 's Twitter Profile Photo

I needed WIFI ofisini kwangu, Someone recommended TTCL CORPORATION, nikaanza process since April 28th, online registration + direct call kwa Dodoma ofisi yao! Ila mpaka leo sijaja kuhudumiwa! Really disappointing!

Eng.Simon J.Msenga (@simonmsenga) 's Twitter Profile Photo

Pamoja na mapungufu ya Gwajima, ila namuunga mkono kwenye kukemea UTEKAJI! Utakuwa MPUMBAVU kuona madhaifu ya Gwajima yana nguvu kuliko anachokizungumzia kuhusu UTEKAJI.