shadrack john msuya (@shadrackjohn) 's Twitter Profile
shadrack john msuya

@shadrackjohn

Musician/Band
Zouk Gospel singer
youtube.com/watch?v=kOc4t6…

ID: 353554796

linkhttp://www.salamafoundation.or.tz calendar_today12-08-2011 07:52:43

8,8K Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

Kimdr01 (@d_dioff01) 's Twitter Profile Photo

Tukiwa na mama Beijing na mashujaa wetu, tumechagua kutokomeza ukatili wa kijinsia wa aina yoyote ile. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV@salamafound@genderlinks Amplify Change @voiceandchoicefund

Salama Foundation (@salamafound) 's Twitter Profile Photo

Msafara wa kuhamasisha jamii kutokomeza #Ukatili umepita mkoa wa pwani na kuzungumza na wazazi,walimu,wanafunzi pamoja na vijana wengi namna nzuri ya kushirikiana na vyombo mbalimba ili kutokomeza kabisa ukatili #TokomezaUkatili #endgbv #16DaysOfActivism @genderlinks WiLDAF Tanzania

Leo ni siku ya watu wenye ulemavu duniani.Tuadhimishe siku hii kwa kuwekeza na kuchagua kutokomeza kabisa ukatili wa kijinsia na kutoa fursa zinazozingatia usawa kwa wote #TokomezaUkatili #EndGBV #16DaysOfActivism

Leo ni siku ya watu wenye ulemavu duniani.Tuadhimishe siku hii kwa kuwekeza na kuchagua kutokomeza kabisa ukatili wa kijinsia na kutoa fursa zinazozingatia usawa kwa wote #TokomezaUkatili #EndGBV #16DaysOfActivism
Kimdr01 (@d_dioff01) 's Twitter Profile Photo

Hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV Salama Foundation

Mtoto ana haki ya kulindwa dhidi ya ndoa zautotoni.Chagua kutokomeza ukatili kwa watoto #EndGBV #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism #NoExcuses

Mtoto ana haki ya kulindwa dhidi ya ndoa zautotoni.Chagua kutokomeza ukatili kwa watoto #EndGBV #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism #NoExcuses
Kimdr01 (@d_dioff01) 's Twitter Profile Photo

When we break the silence, we give power to childrens and adolescent to open up and challenge all forms of #GBV. We have #NoExcuses to inform them. #TokomezaUkatili #EndGBV #16DaysOfActivism

Unaposimama na kukemea ukatili wa kijinsia,unakua umechagua kuokoa maisha ya watu na jamii zao.Tushirikiane kuvunja ukimya. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV #NoExcuses

Paza sauti yako, wakumbushe watu wako wa karibu kuhusu mabadiliko ya tabia ili kuikomboa jamii yetu dhidi ya ukatili wa kijinsia.#TokomezaUkatili #EndGBV #16DaysOfActivism

Paza sauti yako, wakumbushe watu wako wa karibu kuhusu mabadiliko ya tabia ili kuikomboa jamii yetu dhidi ya ukatili wa kijinsia.#TokomezaUkatili #EndGBV #16DaysOfActivism
Lilian Njau (@liliannjau6) 's Twitter Profile Photo

Mwananchi mwenzangu,hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV

Mwananchi mwenzangu,hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote.

#TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Mwananchi mwenzangu,hakuna maendeleo bila usawa. Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV Salama Foundation

Mwananchi mwenzangu,hakuna maendeleo bila usawa.
Tumia siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kuhamasisha usawa, amani na upendo kwa wote. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism2024 #EndGBV Salama Foundation
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kuwa sehemu ya suluhisho! Elimisha wanaume kuhusu kutokomeza ukatili wa kijinsia. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism #EndGBV #NoExcuse @Salmafound

Kuwa sehemu ya suluhisho!
Elimisha wanaume kuhusu kutokomeza ukatili wa kijinsia. #TokomezaUkatili #16DaysOfActivism #EndGBV #NoExcuse @Salmafound
KIPEPE 💊 (@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Ni muhimu kuendeleza mijadala inayopinga ukatili wa kijinsia kwa sababu inasaidia kuchagiza maendeleo endelevu kwa jamii zetu hasa kwa wanawake na watoto. #NoExcuse #TokomezaUkatili #EndGBV #16DaysofActivism Salama Foundation WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII Tanzania:16 Days of Activism Against GBV Campaign

Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni za GSM, Benson Mahenya amesema Serikali imemsahau mtoto wa kiume na badala yake kuweka mkazo zaidi kwa mtoto wa kike jambo ambalo ni hatari kwa maendeleo ya Taifa.

shadrack john msuya (@shadrackjohn) 's Twitter Profile Photo

Read my articles I just published Resilience in the Face of Change: Strengthening Tanzania’s HIV/AIDS Internal Financing in the Wake… link.medium.com/AxNIcoGQzQb

Kwako Rais wangu kipenzi,Mhh Samia Suluhu .Pole na kazi.Ninakuomba kama utapata nafasi upitie makala yangu inayoangazia jinsi nchi yetu tunaweza kuanza kujifadhili kny program za afya hasa zinazohusu matumizi ya ARV.Ili kupunguza mzigo mkubwa wa wafadhili medium.com/@shadrackjohnm…

Gender Links (@genderlinks) 's Twitter Profile Photo

shadrack john msuya from 🇹🇿 talks about writing an article called "Resilience in the Face of Change" to strengthen Tanzania HIV/Aids internal financing in wake of USAID cuts & global shift Women's Voice & Leadership Conference #VoiceAndChoice #GenderEqaulity

shadrack john msuya from 🇹🇿 talks about writing an article called "Resilience in the Face of Change" to strengthen Tanzania HIV/Aids internal financing in wake of USAID cuts & global shift Women's Voice & Leadership Conference

#VoiceAndChoice #GenderEqaulity
shadrack john msuya (@shadrackjohn) 's Twitter Profile Photo

My article tittled "Resilience in the Face of Change" to strengthen Tanzania HIV/Aids internal financing in wake of USAID cuts & global shift featured in Women's Voice & Leadership Conference,South afric #VoiceAndChoice #GenderEqaulity