Saidi Msonga (@saidimsonga) 's Twitter Profile
Saidi Msonga

@saidimsonga

Business Manager,
Political analyst,
Columnist

ID: 2735259215

calendar_today06-08-2014 16:49:39

1,1K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Saidi Msonga (@saidimsonga) 's Twitter Profile Photo

Balozi wa Ufaransa nchini Niger Sylvain Itte ametimuliwa rasmi nchini humo chini ya usimamizi wa wanajeshi. Utawala wa kijeshi ulimuamuru aondoke nchini humo baada ya kukaidi wito wa kumtaka kufika Wizara ya Mambo ya Nje kwa mahojiano akagoma kuondoka. Sasa amefurushwa.

Saidi Msonga (@saidimsonga) 's Twitter Profile Photo

Mh Waziri Ummy Mwalimu kosa letu ni nini hadi tusiende na wenza wetu Kliniki? Mbona kuna elimu kubwa nasi tunapata kuhusu afya zetu, matunzo ya mjamzito na mtoto. Au dhana ya RCH mmeifuta na kurudi kwenye MCH? Sijapenda hili

Mh Waziri <a href="/ummymwalimu/">Ummy Mwalimu</a> kosa letu ni nini hadi tusiende na wenza wetu Kliniki? Mbona kuna elimu kubwa nasi tunapata kuhusu afya zetu, matunzo ya mjamzito na mtoto. Au dhana ya RCH mmeifuta na kurudi kwenye MCH? Sijapenda hili
Saidi Msonga (@saidimsonga) 's Twitter Profile Photo

Jarida la Wikiendi: DRC baada ya Uchaguzi Uchambuzi wa kina kuhusu matukio kabla, wakati na baada ya Uchaguzi. Kwa ushirikiano wa VOA, Azamtv na CitizenTv

Jarida la Wikiendi: DRC baada ya Uchaguzi

Uchambuzi wa kina kuhusu matukio kabla, wakati na baada ya Uchaguzi.

Kwa ushirikiano wa VOA, Azamtv na CitizenTv
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Rais Ruto anasema alienda Kijiji cha Kaiboi huko Kenya akakutana na Kijana anayeitwa Brian. Brian anafanya kazi na Kampuni ya AI iliyopo Ujerumani licha ya kuwa hana Passport na wala hajawahi kufika hata Nairobi. Hilo limewezekana sababu ya uwepo wa Umeme, Internet na Computer.

Mzilikazi wa Afrika (@iammzilikazi) 's Twitter Profile Photo

“Unity will not make us rich, but it can make it difficult for Africa and the African peoples to be disregarded and humiliated.” ~ Julius Nyerere #WakeUpEverybody ✊🏿

Saidi Msonga (@saidimsonga) 's Twitter Profile Photo

The World is in Shamble as United Nations failed to play it's role and lost it's credibility as international organization for peace and security as far as blindness in on-going genocide in Gaza, killings in Democratic Republic of Congo, Sudan, Russia-Ukraine etc.

Saidi Msonga (@saidimsonga) 's Twitter Profile Photo

Mmeshindwa kutimiza wajibu wenu. Sukari kiroba bei ya jumla kinauzwa 85,000 (i.e vifuko 20 vya 1kg). Maana yake bei ya jumla kwa kilo 1 Tsh 4,250 Sasa muuzaji wa rejareja akiuza 5,000 kwa kilo mnataka tutoe taarifa kuhusu nini? Ina maana hamjui tatizo liko wapi? Usimamizi mbovu.

Saidi Msonga (@saidimsonga) 's Twitter Profile Photo

Tunasherehekea Utumishi wako katika Taifa letu, maisha yako yamebaki kama hadithi nzuri ambayo wajukuu zako tutaendelea kuhadithiana vizazi hadi vizazi. Hakika Sote Ni Waja wa Mwenyezi Mungu Na Kwake Ndio Marejeo Yetu. Allahuma ighfirlahum warhamuhum wa'asknihu fil janna.

Tunasherehekea Utumishi wako katika Taifa letu, maisha yako yamebaki kama hadithi nzuri ambayo wajukuu zako tutaendelea kuhadithiana vizazi hadi vizazi.

Hakika Sote Ni Waja wa Mwenyezi Mungu Na Kwake Ndio Marejeo Yetu.

Allahuma ighfirlahum warhamuhum wa'asknihu fil janna.