Revline Mbugi (@revlinembugi) 's Twitter Profile
Revline Mbugi

@revlinembugi

Naibu katibu mkuu BAVICHA bara 2024-2029.

ID: 1724435497265647616

calendar_today14-11-2023 14:34:46

910 Tweet

2,2K Followers

700 Following

Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

#BreakingNews watu waliokuwa na visu na mapanga wamevamia mkutano wa Chadema wa leo asubuhi maeneo ya Igunga, Tabora. Watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche wakati unaingia eneo la Mkutano, mlinzi wa Mhe. Heche ameruhiwa. Jeshi la Polisi

#BreakingNews watu waliokuwa na visu na mapanga wamevamia mkutano wa Chadema wa leo asubuhi maeneo ya Igunga, Tabora. Watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa Makamu Mwenyekiti Mhe. <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> wakati unaingia eneo la Mkutano, mlinzi wa Mhe. Heche ameruhiwa.

Jeshi la Polisi
Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile Photo

Tukiwa tunasubiri msimamo na maelekezo ya Chama. VIJANA wa CHADEMA tutakuwa na siku 14 za kuvaa sare za NO REFORMS: NO ELECTION 24hrs. Tuendeleze mkakati wa kuihubiri kampeni hii kwenye mitandao ya kijamii bila kukoma 24hrs. Ujumbe huu utawafikia kwa njia zote. Aluta Continua.

Tukiwa tunasubiri msimamo na maelekezo ya Chama. VIJANA wa CHADEMA tutakuwa na siku 14 za kuvaa sare za NO REFORMS: NO ELECTION 24hrs. Tuendeleze mkakati wa kuihubiri kampeni hii kwenye mitandao ya kijamii bila kukoma 24hrs. Ujumbe huu utawafikia kwa njia zote. Aluta Continua.
Martine Abdul Kandore (@martinabdul14) 's Twitter Profile Photo

Tatizo sio kulinda kura, tatizo ni je, kura za kulinda unazo?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Opportunist walizani ni rahisi kuchukua nafasi ya Chadema Tanzania but ukweli siku zote unashinda. #NoReformsNoElection

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Oktoba TUNATIKI. OKtoba LINDA KURA. Oktoba HATUSUSI. VYAMA vya mfumo vyote vinafanana mpaka akili na WAKOLONI WEUSI. UBINAFSI ndio umewajaa.

Revline Mbugi (@revlinembugi) 's Twitter Profile Photo

Akiwa gerezani anakosa haki ya kuabudu ikiwa wengine wanapata haki hiyo, anakosa haki ya kuongea na mawakili wake ikiwa ni haki yake "I will defend myself this is about life"Tundu Antiphas Lissu

Akiwa gerezani anakosa haki ya kuabudu ikiwa wengine wanapata haki hiyo, anakosa haki ya kuongea na mawakili wake ikiwa ni haki yake 
"I will defend myself this is about life"<a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Huyu sasa mtu unaweza kusema ni mwanafunzi wa chuo kikuu, huyu unaweza kumuita Msomi wa chuo. Hapa unapata fikra na uelewa sio uchawa na kujipendekeza hongera vijana.

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga. Kumbe sio ndoto ni kweli Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda. Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki itendeke.

Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga. Kumbe sio ndoto ni kweli Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda.

Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki itendeke.