Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile
Project CLEAR

@projectcleartz

We balance analytics with implementation by incorporating multidisciplinary inputs to transform the paradigm of organizational and international development

ID: 1301187247023288320

linkhttp://projectclear.com calendar_today02-09-2020 15:56:46

1,1K Tweet

280 Followers

8 Following

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Project Clear celebrated MHH Day in Arusha with our partners, SafePad. Yesterday, SafePad launched their reusable sanitary pads, which feature anti-microbial properties. We won’t be left behind. Truly together for a #PeriodFriendlyWorld 🤌🏾 Watch this space! 🫡

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Another milestone for Project CLEAR! Joined the Jogging Event with E Digital to push the #MtuNiAfya agenda. Promoting physical activity as a lifestyle to combat NCDs. Let's mobilize the community! #FanyaKweli #UsibakiNyuma

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Before launching field activations for Fanya Kweli, Usibaki Nyuma, Project CLEAR spent 1.5 years in dedicated designing of the project. There was intense groundwork, strategy sessions, planning and preparation. Every step in this journey is fueled by passion and purpose. #MtuniAfya #FanyaKweli

Fanya Kweli, Usibaki Nyuma (@mtuniafya) 's Twitter Profile Photo

SIMIYU UMEELEWEKA! Ni muda sasa wana Simiyu na Viunga vyake ku #FanyaKweli, Tumewaelewa na kuanzia tarehe 21/12/2024 wana Simiyu watakua wana Fanya Kweli Hii sio ya Kubaki Nyuma #Umeeleweka #FanyaKweli #UsibakiNyuma #MtuNiAfya

SIMIYU UMEELEWEKA!

Ni muda sasa wana Simiyu na Viunga vyake ku #FanyaKweli, Tumewaelewa na kuanzia tarehe 21/12/2024  wana Simiyu watakua wana Fanya Kweli

Hii sio ya Kubaki Nyuma

#Umeeleweka #FanyaKweli #UsibakiNyuma #MtuNiAfya
Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

The Project CLEAR team is ready for Simiyu, the hardest-hit region in Tanzania’s cholera outbreak with 21% of all cases. We’re committed and motivated for the task ahead. Let’s do this! 💪🏾 Manyara and Arusha are next. Phase 2 will be with these 3 regions. #MtuNiAfya

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Katika hatua za mwanzo kushughulikia kipindupindu Simiyu, imeazimiwa: 1. Kamati za dharura kuundwa kila kijiji 2. Mashindano ya vijiji na kaya: “Pindua Kipindupindu Kabla ya Mwaka Kupinduka.” 3. Uhamasishaji wa haraka Itilima, yenye 50% ya visa vya kipindupindu Simiyu #MtuNiAfya

Katika hatua za mwanzo kushughulikia kipindupindu Simiyu, imeazimiwa:
1. Kamati za dharura kuundwa kila kijiji
2. Mashindano ya vijiji na kaya: “Pindua Kipindupindu Kabla ya Mwaka Kupinduka.”
3. Uhamasishaji wa haraka Itilima, yenye 50% ya visa vya kipindupindu Simiyu

#MtuNiAfya
Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Ufunguzi wa Kikao kazi cha Kampeni ya MTU NI AFYA II cha Wizara ya Afya na Wahariri kutoka vyombo vya Habari mbalimbali nchini. #mtuniafya #wizarayaafya #kikao #fanyakwelisuibakinyuma #kikaokazi Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI AnyitikePM

Just 30 minutes of moving your body every day – it doesn’t have to be in the gym or running, that’s exercise. Do it for real, don’t be left behind.” #millionviews #30MinutesADay #MoveYourBody #HealthIsWealth #DontBeLeftBehind Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 @anyitike Mrisho Mpoto

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Ni haki ya mtoto kupata Nyama ya kutosha. Wazazi wengi hupendelea kumpa baba sehemu kubwa ya nyama, huku mtoto akipewa kidogo. #nyama #watoto #haki #mtuniafya #protini #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo AnyitikePM Mrisho Mpoto Fanya Kweli, Usibaki Nyuma

Hakuna anayekwepa taka — sote tunazalisha. Swali ni: wewe unachukua hatua gani? Uwajibikaji ni vitendo. Fanya kweli, usibaki nyuma. 🌍✨ #mtuniafya #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo #worldenvironmentday Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Fanya Kweli, Usibaki Nyuma Mrisho Mpoto AnyitikePM

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Kila mmoja ana nafasi yake… wengine hutazama tu, wachache huchukua hatua. Taka zako huenda zinakuficha, ukijisikia aibu, ukifikiria ‘ninaanzaje?’… lakini je, kukaa kando kunaleta mabadiliko yoyote? Clear Vision Project Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Je, utaendelea kuzikwepa mpaka lini taka unazozalisha mwenyewe? Au utaamua kuonyesha uwajibikaji, kuanza hatua ndogo leo, na na kuwaití miongoni mía wengi waliokataa kubaki uyuma? Fanya kweli — usibaki nyuma. Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI

Tumezoea kuamini tunachoona ndicho sahihi… lakini je, macho pekee yanaweza kutuonyesha kila kitu? 🤔 Hatua ndogo za kila siku huhakikisha maji salama. Fanya kweli, usibaki nyuma. Fanya Kweli, Usibaki Nyuma Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Mrisho Mpoto #FanyaKweliUsibakiNyuma #AfyaYakoNguzoYako #TreatWater

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtu anazalisha taka majumbani na maeneo ya kazi, jambo pekee linabaki ni uwajibikaji. Fanya kweli usibaki nyuma. #sikuyausafishajiduniani2025 #mazingiraniuhai #fanyakweliusibakinyuma #goplanttanzania #clearkamo #safishamazingira Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Katika familia nyingi, baba huchukua sehemu kubwa ya nyama, mtoto hubaki na kipande kidogo na mchuzi mwingi. Leo baba anasema: “Kwa ajili ya mtoto wangu, nipo tayari kwenda buchani kumletea nyama. #FanyaKweliUsibakiNyuma #MtotoKwanza #LisheBora Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

Project CLEAR (@projectcleartz) 's Twitter Profile Photo

Mara nyingi ratiba zetu hutufanya tusahau sekunde chache za kunawa mikono kwa sabuni. Japokuwa Vifaa na maji vipo—swali ni, je, tunavitumia? Fanya kweli, Usibaki Nyuma. #fanyakweliusibakinyuma #clearkamo #millionviews Project CLEAR Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 Elimu ya Afya kwa Umma Mrisho Mpoto