Prisca Kishamba
@priscakishamba
Presenter
ID: 711957821999456259
21-03-2016 16:49:07
489 Tweet
1,1K Followers
20 Following
Hili goli la Simba Sports Club ni la Offside mchezaji Mkude alikuwa ktk eneo la kuotea lkn refa ameamua kuipa heshima timu kubwa,.ila kuna shida mahali.
Dogo anaitwa ENZO ameondolewa timu ya taifa ya Ufaransa U16 kwasababu za kinidhamu, ikisemekana shida ilianza alipofunga mabao kisha akafunua jezi kuonesha ALLAH IS GREAT hii inatokana na changamoto wanazopitia waislam huko Ufaransa. Chanzo: Farhan Kihamu Jr