Futbal Planet ✴️ (@planetfutbal) 's Twitter Profile
Futbal Planet ✴️

@planetfutbal

OFFICIAL FPM TL ACCOUNT.

🟢 ALL ABOUT FOOTBALL NEWS

ID: 1509619912175722501

linkhttp://Facebook.com/abadankamwejr calendar_today31-03-2022 19:53:48

65,65K Tweet

20,20K Followers

836 Following

Tanzania Footballers Abroad 🇹🇿 (@tzfootballers) 's Twitter Profile Photo

𝗖𝗢𝗡𝗧𝗥𝗔𝗖𝗧 𝗘𝗫𝗧𝗘𝗡𝗦𝗜𝗢𝗡 ✍️ Kiungo Mshambuliaji wa Kitanzania Diana Lucas Msewa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Klabu yake ya Trabzonspor Inayoshiriki ligi kuu wanawake nchini uturuki Kila la kheri Fundi🧠⚽️🇹🇿

𝗖𝗢𝗡𝗧𝗥𝗔𝗖𝗧 𝗘𝗫𝗧𝗘𝗡𝗦𝗜𝗢𝗡 ✍️
 
Kiungo Mshambuliaji wa Kitanzania  Diana Lucas  Msewa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Klabu yake ya Trabzonspor Inayoshiriki ligi kuu wanawake nchini uturuki

Kila la kheri Fundi🧠⚽️🇹🇿
Futbal Planet ✴️ (@planetfutbal) 's Twitter Profile Photo

🏆 𝗖𝗢𝗔𝗖𝗛 𝗢𝗙 𝗧𝗛𝗘 𝗬𝗘𝗔𝗥 𝗡𝗢𝗠𝗜𝗡𝗘𝗘𝗦 🇪🇸 Luis Enrique 🇮🇹 Antonio Conte 🇮🇹 Enzo Maresca 🇩🇪 Hansi Flick 🇳🇱 Arne Slot . . Nani anastahili kuwa Kocha Bora wa Mwaka wa dunia?

🏆 𝗖𝗢𝗔𝗖𝗛 𝗢𝗙 𝗧𝗛𝗘 𝗬𝗘𝗔𝗥 𝗡𝗢𝗠𝗜𝗡𝗘𝗘𝗦

🇪🇸 Luis Enrique
🇮🇹 Antonio Conte
🇮🇹 Enzo Maresca
🇩🇪 Hansi Flick
🇳🇱 Arne Slot
.
.
Nani anastahili kuwa Kocha Bora wa Mwaka wa dunia?
Futbal Planet ✴️ (@planetfutbal) 's Twitter Profile Photo

Muonekano wa kiungo Ahmed Pipino baada ya kushidwa kumaliza mchezo wake wa jana dhidi ya Mauritania ambapo aliingia Sub kuchukua nafasi nafasi ya Yusuph Kagoma mwanzoni mwa kipindi cha pili.

🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Klabu ya Simba SC inatarajia kufanya tamasha lao la SIMBA DAY, siku ya Jumapili ya Septemba 07, 2025.

🚨🇸🇮 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆 | Manchester United imekamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Kimawa Slovenia 🇸🇮, Benjamin Sesko (22) akitokea RB Leipzig kwa dau la ni shilingi Bilioni 225 za Kitanzania huku kukiwa na nyongeza ya Shilingi Bilioni25 kwa Mkatabawa miaka mitano.

Baada ya Kuitumikia RS Berkane kwa Muda mrefu na Kupata Mafanikio Makubwa akiwa Kama Nahodha wa Kikosi hicho, Beki Youssofo Dayo (34) anakaribia Kujiunga na Klabu ya UMM Salal SC ya Qatar kama Mchezaji huru Baada ya Kumalizana na RS Berkane.

KOCHA wa mazoezi ya utimamu wa mwili (Physic), Tshephang ‘Chyna’ Mokaila raia wa Afrika Kusini akiwaongoza wachezaji wa Yanga leo kwenye mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.

UMEZIONAJE DAKIKA 83 ZA FUNDI, NEO MAEMA V ALGERIA?👇 . FT: ALGERIA 🇩🇿 1-1 🇿🇦 SOUTH AFRICA ⚽ Abdennour Iheb Belhocini 28' ⚽ Thabiso Kutumela 45'

UMEZIONAJE DAKIKA 83 ZA FUNDI, NEO MAEMA V ALGERIA?👇
.
FT: ALGERIA  🇩🇿  1-1 🇿🇦  SOUTH AFRICA 

⚽ Abdennour Iheb Belhocini 28'
⚽ Thabiso Kutumela 45'
Futbal Planet ✴️ (@planetfutbal) 's Twitter Profile Photo

NEO MAEMA VS ALGERIA 🇩🇿 LEO. ✅ 83 minutes ✅ 31 touches ✅ 16/20 Accurate Passes ✅ 80% pass accuracy ✅ 1 big chance created ✅ 0 shots on target ✅ 2/3 Accurate long balls

NEO MAEMA VS ALGERIA 🇩🇿 LEO.

✅ 83 minutes
✅ 31 touches
✅ 16/20 Accurate Passes
✅ 80% pass accuracy
✅ 1 big chance created
✅ 0 shots on target
✅ 2/3 Accurate long balls
Futbal Planet ✴️ (@planetfutbal) 's Twitter Profile Photo

🎙️“Kaka yangu ndiye aliyenipa taarifa kuwa Simba wananihitaji na mimi nikamwambia sawa ongea nao, nakumbuka hiyo siku sikulala kabisa nikiwa chumbani kwangu kwa sababu Simba ni timu kubwa" —Mohamed Bajaber (Mchezaji wa Simba SC)

🎙️“Kaka yangu ndiye aliyenipa taarifa kuwa Simba wananihitaji na mimi nikamwambia sawa ongea nao, nakumbuka hiyo siku sikulala kabisa nikiwa chumbani kwangu kwa sababu Simba ni timu kubwa"

—Mohamed Bajaber (Mchezaji wa Simba SC)