#Powerpointz๐Ÿฆ (@petermaengo_) 's Twitter Profile
#Powerpointz๐Ÿฆ

@petermaengo_

Mwana _retweet๐Ÿ˜…| Simba๐Ÿฆ

ID: 1027888056970428416

calendar_today10-08-2018 12:03:04

78,78K Tweet

1,1K Followers

264 Following

Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

Ubaya ni kwamba wanaotajwa kuteuliwa na wale waliokatwa sio kwamba kuna tofauti wakishaanza majukumu. Wote ni sawa tuu, kula, kuiba, kutojali wananchi. Hawaendi kutumia akili zao bali mfumo wa hovyo na ajenda chafu kulingana na chama kitakavyoamua.

Emmanuel Mwita (@ej_mwita) 's Twitter Profile Photo

Anakatwa LUHANGA MPINA, Anapitishwa BABA LEVO. Mnajiuliza kwanini Profesa wa Sheria aliondolewa kutoka kuwa Waziri wa Katiba na Sheria alikomudu kwa mafanikio makubwa na kupelekwa kuwa Waziri wa MICHEZO. ๐Ÿ˜

MIRIAM๐Ÿ’œ (@miriammkanaka) 's Twitter Profile Photo

Nasikia ilisisitizwa makabila haya matatu wasipewe Urais ๐Ÿ˜‚๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ Wanyakyusa Wachaga Wahaya Sijui muhasisi aliwaza nini๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ

Nasikia ilisisitizwa makabila haya matatu wasipewe Urais ๐Ÿ˜‚๐Ÿšถ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ

Wanyakyusa 
Wachaga 
Wahaya 

Sijui muhasisi aliwaza nini๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ