Patrick Nahunda (@patricknahunda) 's Twitter Profile
Patrick Nahunda

@patricknahunda

JESUS CHRIST Saved Me|Us.

ID: 2969692492

calendar_today09-01-2015 13:01:09

91,91K Tweet

3,3K Followers

1,1K Following

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Una haki ya kubadilika na kuanza upya. Una haki ya kuchagua kuizika historia yako mbaya. Una haki ya kubomoa daraja linalokuunganisha na yeyote anayekunyanyasa kwa kutumia historia isiyokusaidia kuwa mtu mpya. Una haki ya kutokugeuka nyuma.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Pope Mwita I Kwa hiyo unafikiri kuchora panzi ni kupoteza muda? Wapo wenzako wengi huyo panzi alikuwa mwanzo wa kujifunza elimu ya wadudu (entomology), aina za viumbe na uhifadhi wake, tiba, tafiti, na kadhalika. Kwa sisi tulioishia njiani, huyo panzi alitusaidia kupanua uelewa wetu wa

Rehema Mwakalinga 🇹🇿 (@rehemagm) 's Twitter Profile Photo

Wafilipi 2:3 [3]Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Afrika mpaka umri unafichwa, sa mtu akijua umri wako inakuaje?? Asili ya Mwafrika 1. Roho mbaya 2. Mentality za kimasikini 3. Mentality za uchawi 5. Selfishness

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Bwana Yesu ni mkuu sana. Bwana Yesu anaweza yote. Jina la Yesu linatosha. Kuna utoshelevu ndani ya Yesu. Therefore, we have peace. 🙏

Patrick Nahunda (@patricknahunda) 's Twitter Profile Photo

Faith produces good works, but good works do not produce faith—just as milk produces butter, but butter does not produce milk. - Evangelist. Reinhard Bonnke

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Jifunze kumsikiliza Roho Mtakatifu utakwepa vitu vingi sana. Kuna mahali tunaingiaga kichwa kichwa na ni ghamara sana kutoka.