جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile
جمعة يحيى محمد

@officialjouma

Mwalimu wa Lugha ya Kiarabu | Content Creator أستاذ اللغة العربية | صانع المحتوى

ID: 3064838896

linkhttps://t.me/TafsiriYaQuran calendar_today28-02-2015 13:06:05

21,21K Tweet

5,5K Followers

568 Following

جمعة يحيى محمد (@officialjouma) 's Twitter Profile Photo

ileile ya sijda ya kwanza. 13.📌 Kisha atanyanyuka juu (kwa ajili ya kuswali rakaa ya pili) huku akisema: Allaahu Akbar. Kisha atasoma suratul faatiha na surah nyingine yoyote. Baada ya kisomo cha rakaa ya pili atarukuu na atasujudu kama alivyofanya kwenye rakaa ya kwanza.⬇️